Kwanini siku hizi vyuoni wanawake mnatega mimba?

ndo ivo yan hapa nina stress hatari
Hahahaha usiumie Sana Mkuu Sema uliempa mimba hukumpenda na ulikua unapita tu lkn kama ungempiga mimba yule demu uliempenda hakiamungu hata hela ya matumizi utakapotoa hutajua unashangaa umempa tu

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Wakati unatomba peku na kumwagia ndani ulikuwa unategemea nini ??

Shame on you, lea mtoto

Lea mtoto

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Nawewe kwa nn hukutumia kinga? Uliyataka mwenyewe mbona sasa unalia? Ila hongera mkuu maana upo vizuri kwenye kizazi

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu maisha ni haya haya tu hasa unavyoona Sizonje anazidi kutuzika, fanya kila jambo kwa wakati kadri utakavyoweza. Ukisubiri hadi ujipange unaweza kufa bila hata mtoto. Wewe shangilia tena ikiwezekana tafuta toto jingine yawe mawili au matatu hivi angalau uwe na jeshi la kutosha.

Mimi mwenyewe kapuku ila nataka nipate makamanda wa kutosha, wataishi tu, msosi ninaopiga nao watapiga huo huo. Maisha yenyewe yanazidi kuwa mafupi haya ya nini kufa bila kuacha jina?

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha usiumie Sana Mkuu Sema uliempa mimba hukumpenda na ulikua unapita tu lkn kama ungempiga mimba yule demu uliempenda hakiamungu hata hela ya matumizi utakapotoa hutajua unashangaa umempa tu

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
hahaaaaaaaaa daaaaah watu mna experience
 
Habari wakuu,

Mimi nawauliza dada zetu wanaobahatika kufika elimu ya chuo kikuu,
kwanini ukipata boyfriend unaamua kutega mimba pasipo hata kuangalia uyo mtu amejipanga vipi yani kiufupi mnatupa mizigo pasipo kutegemea.

Najua kwa mdada wa chuo huwezi kusema mimba imeingia bahati mbaya coz mnajielewa vizuri tu na makarenda yenu, sasa kwanini mnategesha mimba afu mnaanza kutusumbua jamani eh?

Mimi inaniuma sana maana kuna binti amenitegeshea mimba na wakati nipo mwaka wa tatu sijui hata kama nitapata ajira baada ya kumaliza chuo au lah! yani nina hasira nae natamani hata nimzabe makofi afu hata hataki kutoa mimba yani mh!

Mungu anawaona nyie mabinti mnaotegesha mimba makusudi.
Kwani mliambiwa chuo kikuu ndio sehemu ya kufyatuwa hose pipes zenu? Umefayatuwa hose pipe kumwagilia mchicha sasa unaota unabweka mdomo juu kama mbwa kaona mwanga we vp?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu maisha ni haya haya tu hasa unavyoona Sizonje anazidi kutuzika, fanya kila jambo kwa wakati kadri utakavyoweza. Ukisubiri hadi ujipange unaweza kufa bila hata mtoto. Wewe shangilia tena ikiwezekana tafuta toto jingine yawe mawili au matatu hivi angalau uwe na jeshi la kutosha.

Mimi mwenyewe kapuku ila nataka nipate makamanda wa kutosha, wataishi tu, msosi ninaopiga nao watapiga huo huo. Maisha yenyewe yanazidi kuwa mafupi haya ya nini kufa bila kuacha jina?

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
hahaaaaaaaa aiseee sawa mkuu
 
Kalenda inamhusu yeye siyo mimi.
vizuri sana mwaache aangaike na kalenda wew utaangaika na mahitaji ya mtoto na mama ake [emoji3][emoji3][emoji3] embu Google bei ya pampers na kopo la maziwa[emoji123][emoji123]
 
unachanganya mambo bro,unazungumzia kutoa mimba then unamtaja Mungu tena humo humo,

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
MAANA mkuu nipo hosp X na nmeshuhudia wadada wanapoteza maisha kwaajili ya hilo. Kulea mimba siyo kazi kivile .mtoto ndiyo kuna shida ila unahitaji kuvumilia naamin yatapita tuu mkuu usiwaze tupo pamoja

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] polee naona bidada kaona achukue chake mapema kwa kushika mimba, maana mapenzi ya chuo bwana mkimaliza na mapenzi yanafika mwisho.
 
Habari wakuu,

Mimi nawauliza dada zetu wanaobahatika kufika elimu ya chuo kikuu,
kwanini ukipata boyfriend unaamua kutega mimba pasipo hata kuangalia uyo mtu amejipanga vipi yani kiufupi mnatupa mizigo pasipo kutegemea.

Najua kwa mdada wa chuo huwezi kusema mimba imeingia bahati mbaya coz mnajielewa vizuri tu na makarenda yenu, sasa kwanini mnategesha mimba afu mnaanza kutusumbua jamani eh?

Mimi inaniuma sana maana kuna binti amenitegeshea mimba na wakati nipo mwaka wa tatu sijui hata kama nitapata ajira baada ya kumaliza chuo au lah! yani nina hasira nae natamani hata nimzabe makofi afu hata hataki kutoa mimba yani mh!

Mungu anawaona nyie mabinti mnaotegesha mimba makusudi.
Mbona we umemtegeshea kumgegeda

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom