Kwanini siku hizi vyuoni wanawake mnatega mimba?

Kwanini siku hizi vyuoni wanawake mnatega mimba?

Ulipogonoka bila kinga ulidhania kuwa joka lenye jicho moja lenye kengeza halitatema vijisenti kwenye nyama laini!!?

Ndiyo ukome, kutumia mgongo wa uananchuo na vimkopo vya chuo kikuu kudanganya mabinti.

Ningemfahamu huyu binti ningempa vocha / soda za kutosha.
 
Habari wakuu,

Mimi nawauliza dada zetu wanaobahatika kufika elimu ya chuo kikuu,
kwanini ukipata boyfriend unaamua kutega mimba pasipo hata kuangalia uyo mtu amejipanga vipi yani kiufupi mnatupa mizigo pasipo kutegemea.

Najua kwa mdada wa chuo huwezi kusema mimba imeingia bahati mbaya coz mnajielewa vizuri tu na makarenda yenu, sasa kwanini mnategesha mimba afu mnaanza kutusumbua jamani eh?

Mimi inaniuma sana maana kuna binti amenitegeshea mimba na wakati nipo mwaka wa tatu sijui hata kama nitapata ajira baada ya kumaliza chuo au lah! yani nina hasira nae natamani hata nimzabe makofi afu hata hataki kutoa mimba yani mh!

Mungu anawaona nyie mabinti mnaotegesha mimba makusudi.
Hahahaha pole mkuu mpaka umefungua id mpya? Ila najua mwandiko wako, haya yanatokea mkuu jipange kimajukumu pia hongera
 
Mkuu yaan wanakera sana, mm mwenyewe yamenikuta demu huko nyuma alikuwa hataki et atafanya dhambi, ila ajabu mwshon tunakarbia kumalza chuo nashangaa anakubal krahis.Daaah kilichotokea mpaka sasa hv namumind sana
 
Ndiyo ukome, kufika mto ngono na wadada wanaokuwa wanakukataza kisha wewe unajitoa ufahamu hadi kutaka kuhamia room kwao ili tu uwapate.

Na ulipokuwa , unagonoka bila magwanda ulijua mtoto hatazaliwa eeeh!? .

Mdada wa hivyo, natamani sana nimuone nimpe zawadi ya ushindi.
 
Kuwa mwanaume ni pamoja na kuwajibika kwa matendo yako. Usinge mgusa asingepata hiyo mimba, naamini unajua inachukua watu wawili ili mimba ipatikane. Hivyo, mmoja atabeba mimba, akijifungua mwingine atalea mpaka mtoto atakapokuwa na umri wa kujitegeme. Jipange uwajibike Ndugu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari wakuu,

Mimi nawauliza dada zetu wanaobahatika kufika elimu ya chuo kikuu,
kwanini ukipata boyfriend unaamua kutega mimba pasipo hata kuangalia uyo mtu amejipanga vipi yani kiufupi mnatupa mizigo pasipo kutegemea.

Najua kwa mdada wa chuo huwezi kusema mimba imeingia bahati mbaya coz mnajielewa vizuri tu na makarenda yenu, sasa kwanini mnategesha mimba afu mnaanza kutusumbua jamani eh?

Mimi inaniuma sana maana kuna binti amenitegeshea mimba na wakati nipo mwaka wa tatu sijui hata kama nitapata ajira baada ya kumaliza chuo au lah! yani nina hasira nae natamani hata nimzabe makofi afu hata hataki kutoa mimba yani mh!

Mungu anawaona nyie mabinti mnaotegesha mimba makusudi.
Unalia lia nn we ulipoenda kulala nae ulitegemea nini? Jinga sana wewe hayo ndo matokeo ya tendo ulilofanya nae
 
Mungu anakuona wewe unayetaka atoe mimba,, Dada ulikataa kutoa mimba hongera Sana!! Za tu dada Atalea Mungu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Eti 'nataman hata nimzabe makofi afu hata hataki kutoa mimba' [emoji35], umeongea km mtoto wa secondary vlee, acha kutaka kukwepa majukum mkuu karibu ukubwani [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Kuwa mwanaume ni pamoja na kuwajibika kwa matendo yako. Usinge mgusa asingepata hiyo mimba, naamini unajua inachukua watu wawili ili mimba ipatikane. Hivyo, mmoja atabeba mimba, akijifungua mwingine atalea mpaka mtoto atakapokuwa na umri wa kujitegeme. Jipange uwajibike Ndugu.
Acha zako bhana, mtu anakuingiza kwny majukum ambayo hukupanga utafurah kama ni ww?! . Halafu kibaya zaid nina mke kijijin kwetu yaan ninawaza kwel daaah
 
sasa ntamlea vipi hapa nilishasaini boom la mwisho na huko kitaa nasikia ajira hazipo kabisa yani nmedata

Kama hataki MTT wewe ndio uko na maamuzi usilalamikie mwanamke, mwanamke ni mjanja sana. Wewe ndio unamue ni condom au punyeto wewe ndio uko na silaha. Akikataa condom acha na nae ujue anakutega. Msituongezee watt wasio na baba sije Yukawa kama black Americans wako na kazi ya kujaza magereza na vituko kwa jamii
 
Brother imebid nifungue account jamii forum kwa ajili yako aicee...kwanza kabisa hongera kwa yaliyokukuta...ila nikushaur tu mheshimu na jivunie kupata mwanamke aliyekupa hadhi ya kuwa baba..usifikirie kabisa kutoa mimba watoto n baraka kutoka kwa mungu umemaliza chuo njia zitaanza kufunguka soon usijali kwa hilo mbaba..,mm nna ushuhuda wangu nmepitia katka mapito kama yako ila kpnd ambacho mimba ya mwanangu inatungwa nilikuwa sina ajira,biashara zangu zilikufa na nilikuwa nadaiwa zaid ya mil4 ambayo ilikuwa n pesa ya mtaji kwa biashara ambayo nayo ilikufa,nakumbuka kipind hcho kila nikiona simu inaita tena kwa namba ya huyo mwanamke mapigo yangu yalikuwa yanaenda mbio sana na ikizingatiwa alikuwa ndo katoka kumaliza shule alevel na hakuwa na mbele wala nyuma kila kitu alinitegemea mm..,nakumbuka nilikuwa nadharau sana baadhi ya ajira ambazo s taaluma yangu but ilibid nifanye kaz za vpato vdogo kabisa 300000 kwa mwez ambayo yote ilikuwa n kulipa maden kulea mimba,,,kipnd hiki nilimuita mungu na kuona ukuu wake maana had leo hapa nilipo ni kwa neema zangu mwanangu alizaliwa salama na hapo milango ya ajira ikafunguka kwa sasa nipo sehem ambayo namuhudumia kwa kila kitu mwangu na sitak akose malez ya baba lkn pia nadhn kama tungetoa mimba nisingepigana kama vile mpaka kufika hapa nilipo
 
We ulidhan ulikua unatwanga maindi yan upo chuo ht kinga hujui unalaumu mwanamke hapo mtt anababa kizibo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tunatafuta maisha ili tulee familia zetu na huyo n part ya familia yako hana hatia ya kumuua aice ukihitaj ushaur zaid ni pm mkuu
 
Unavuna ulichopanda

Ukipanda mtama unavuna
Mtama na co ulez

Mimba ndy hiyo na kutoa
Hawez anaogopa kufa
Lea tu huyo mtt atakuja
Kukusaidia baadae

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom