Brother imebid nifungue account jamii forum kwa ajili yako aicee...kwanza kabisa hongera kwa yaliyokukuta...ila nikushaur tu mheshimu na jivunie kupata mwanamke aliyekupa hadhi ya kuwa baba..usifikirie kabisa kutoa mimba watoto n baraka kutoka kwa mungu umemaliza chuo njia zitaanza kufunguka soon usijali kwa hilo mbaba..,mm nna ushuhuda wangu nmepitia katka mapito kama yako ila kpnd ambacho mimba ya mwanangu inatungwa nilikuwa sina ajira,biashara zangu zilikufa na nilikuwa nadaiwa zaid ya mil4 ambayo ilikuwa n pesa ya mtaji kwa biashara ambayo nayo ilikufa,nakumbuka kipind hcho kila nikiona simu inaita tena kwa namba ya huyo mwanamke mapigo yangu yalikuwa yanaenda mbio sana na ikizingatiwa alikuwa ndo katoka kumaliza shule alevel na hakuwa na mbele wala nyuma kila kitu alinitegemea mm..,nakumbuka nilikuwa nadharau sana baadhi ya ajira ambazo s taaluma yangu but ilibid nifanye kaz za vpato vdogo kabisa 300000 kwa mwez ambayo yote ilikuwa n kulipa maden kulea mimba,,,kipnd hiki nilimuita mungu na kuona ukuu wake maana had leo hapa nilipo ni kwa neema zangu mwanangu alizaliwa salama na hapo milango ya ajira ikafunguka kwa sasa nipo sehem ambayo namuhudumia kwa kila kitu mwangu na sitak akose malez ya baba lkn pia nadhn kama tungetoa mimba nisingepigana kama vile mpaka kufika hapa nilipo