I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Hili ni janga. nina mdogo wangu tukikatiza mitaa yake wanamwambia naona upo nq mdogo wakoUkiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao.
Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!.
Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi nyuma.
Shida ni nini jamani?
Ukiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao.
Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!.
Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi nyuma.
Shida ni nini jamani?
Wazazi wao ambao ni below 2000 ndio wamewalisha na kuwalea wawe hivyo. Nashangaa sasa wazazi haohao waliolelewa vizuri na wazazi wao (mabibi) leo wamebadilisha malezi na wanashangaa ukuaji ghafla na unenepaji wa ajabu wa watoto wao. Tunavuna tulichopanda, lifestyle ya kizunguUkiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao.
Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!.
Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi nyuma.
Shida ni nini jamani?
Pombe kali,wanawake wazee,kazi ngumu, mlo mmojaNGONO
-Ke, 16yrs old, 4 exs, 2 current boyfriends and 4 mibaba!
-Me, 19yrs old, kisungura, bodaboda, energy drink, mkongo, zege!
๐๐๐Au sio dogoHili ni janga. nina mdogo wangu tukikatiza mitaa yake wanamwambia naona upo nq mdogo wako
haikuletei ugali haikuletei ugaliiiiihKatiba mpya ni sasa katiba mpya ni sasa
hili siwezi pinga ni sahh na kingine machanjo yamekuwa mengi, mara pepo punda, sulua, tb joshua, docta muleba, mr pipa, yaan kila aina ya sindano mtoto anapigwa akiwa mchanga tofaut na miaka yetu ukipigwa ndui hapo mazima, now nina miaka 36 lakin hata ndevu sina, nakula vibint tu vya kusoma nikivaaga bukta, nikatanguzana na wanafunz ooh mbona wanafunz ndio wamezeeka, wakuu mtu wa miaka 28 kumuoa mtu wa miaka 16 hakuna changamoto tukiacha mambo ya jeraHuenda mama zao walitumia sana dawa za uzazi wa mpango mimba zao zikaja kutungwa tayari miili ya mama zao imejaa dawa tele
Hayo majina ya chanjo sasa๐๐hili siwezi pinga ni sahh na kingine machanjo yamekuwa mengi, mara pepo punda, sulua, tb joshua, docta muleba, mr pipa, yaan kila aina ya sindano mtoto anapigwa akiwa mchanga tofaut na miaka yetu ukipigwa ndui hapo mazima, now nina miaka 36 lakin hata ndevu sina, nakula vibint tu vya kusoma nikivaaga bukta, nikatanguzana na wanafunz ooh mbona wanafunz ndio wamezeeka, wakuu mtu wa miaka 28 kumuoa mtu wa miaka 16 hakuna changamoto tukiacha mambo ya jera
Hayo majina ya chanjo sasa