Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Kwani simba huwa wanafanya zoezi kwenye artificial?Imeonekana wachezaji wengi nawapata injury wanapofanya mazoezi kwenye ARTIFICIAL TURF kwa muda mrefu..
Hivyo wame opt kutumia viwanja vinginevyo..
NdumbaYanga kupita mageti yasio rasmi huwa wanaogopa nini?
Hapo hawezi kurudi, akikujib nishtue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo Simba Queen siyo simba!?
Inamana huifutilii Simba? Au umekurupuka kutoka usingizini?Salaam,
Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju.
Kwa wenye taarifa watujuze kwa nini imekuwa hivyo.
Wasalamu
Simba Queens wanafanyia kwenye Nyasi bandia fala wewe