Kwanini Simba haifanyi mazoezi Mo Simba Arena?

Kwanini Simba haifanyi mazoezi Mo Simba Arena?

Imeonekana wachezaji wengi nawapata injury wanapofanya mazoezi kwenye ARTIFICIAL TURF kwa muda mrefu..


Hivyo wame opt kutumia viwanja vinginevyo..
Kwani simba huwa wanafanya zoezi kwenye artificial?
Ukiondoa kunyosha misuli, mazoezi wanafanyia nyasi za kupanda.....
 
Watafanyiaje bunju akati viwanja vya mikoani nyasi Hadi magotini inabidi wafanyie mchangani
 
Salaam,

Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju.

Kwa wenye taarifa watujuze kwa nini imekuwa hivyo.

Wasalamu
Inamana huifutilii Simba? Au umekurupuka kutoka usingizini?
 
Back
Top Bottom