Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Kwani simba huwa wanafanya zoezi kwenye artificial?Imeonekana wachezaji wengi nawapata injury wanapofanya mazoezi kwenye ARTIFICIAL TURF kwa muda mrefu..
Hivyo wame opt kutumia viwanja vinginevyo..
Ukiondoa kunyosha misuli, mazoezi wanafanyia nyasi za kupanda.....