kiwanda cha uongo hiki hapaKuna mgongano wa kimaslahi kidogo na ucheleweshaji wa oda kutokana na kuchelewa kwa jina la mdhamini mpya M BET... kwa hiyo wanaharakisha ndani ya wiki hii zitatoka
Nawaambia jamaa zangu hapa hizi ni jezi za Simba sio kama flana za CWT(Utoooo..de...Atletico) so watulie na pesa tukafanye manunuzi usikuuBiashara hapo inafanyika wakitangaza tarehe 5 usiku tukio la tarehe 6 litafunikwa na jezi zitatafutwa maana demand ni kubwa sana utaona foleni zitakazopangwa kwenye maduka ya vunjabei
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni hili hapa .....Kuna mwamba makolo walimuweka kwenye uzi wao[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini Simba haijazindua jezi zake ikiwa zimebaki siku 4 kabla ya Siku ya Simba?
Kuna mgongano wa kimaslahi kidogo na ucheleweshaji wa oda kutokana na kuchelewa kwa jina la mdhamini mpya M BET... kwa hiyo wanaharakisha ndani ya wiki hii zitatoka
We jamaa ni hater mbaya sana
kiwanda cha uongo hiki hapa
Wewe Utopolo mambo ya Simba unayapenda sana.
Tumechelewa kutoa jezi kutokana na suala la mdhamini..yaani mabadiliko yaliyofanyika kutoka sports....kwenda Mbet
Tutazindua jezi zetu siku ya wananchi, ili tuwavuruge vizuri.Safari hii zitauzwa Stika tu, jezi ni zilezile. Tunabandua Stika za Sport pesa tuna Bandika M-bet.
Siku ya Mwananchi jezi utamuuzia nani wakati Simba wenyewe ni wananchi. Hakuna ata Mwananchi mmoja katika Nchi hii atakubali kupitwa na jambo la kitaifa.Tutazindua jezi zetu siku ya wananchi, ili tuwavuruge vizuri.
Uongozi wa simba s.c umepanga namna nzuri zaidi ya kufanya uzinduzi huo.Kwanini Simba haijazindua jezi zake ikiwa zimebaki siku 4 kabla ya Siku ya Simba?
Simba Kuna mapungufu makubwa kwenye uongozi, Kuna mambo yanaendeshwa ayafanani na uhalisia wa mpira wa miguu.Simba wamekuwa wasiri mno, hadi sasa maadui hawajapata sampo