BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Jamaa yangu mambo ya Simba hayakuhusu..Baki na Utopolo wakoYaani Uongozi unafanya Uzembe kabisa mnaleta siasa nyingi tu..leo hii mimi nionekane hater, muongo? kwani kuna ukweli gani mwingine tofauti na huo niliosema? Hamuoni kwamba hizo changamoto za uzalishaji na sababu zilizo nje ya uwezo wenu ndio tatizo? kwa maana siamini Klabu hiyo inashindwa kumlipa mzabuni kiasi sahihi cha pesa
Na sijawalazimisha muelewe ninavyofahamu mimi