Jamaa yangu mambo ya Simba hayakuhusu..Baki na Utopolo wakoYaani Uongozi unafanya Uzembe kabisa mnaleta siasa nyingi tu..leo hii mimi nionekane hater, muongo? kwani kuna ukweli gani mwingine tofauti na huo niliosema? Hamuoni kwamba hizo changamoto za uzalishaji na sababu zilizo nje ya uwezo wenu ndio tatizo? kwa maana siamini Klabu hiyo inashindwa kumlipa mzabuni kiasi sahihi cha pesa
Na sijawalazimisha muelewe ninavyofahamu mimi
sawaJamaa yangu mambo ya Simba hayakuhusu..Baki na Utopolo wako
Soma Avarar yako kwanza.Siku ya Mwananchi jezi utamuuzia nani wakati Simba wenyewe ni wananchi. Hakuna ata Mwananchi mmoja katika Nchi hii atakubali kupitwa na jambo la kitaifa.
Siku ya Mwananchi ni siku ya kitaifa Kwa wananchi kupitia redio,television n.k kujumuika katika matukio ya Uwanjani.
Ona hii kenge sasa blauzi zenu zinahusika nini na party la mabingwaJezi zitatoka usiku kabla ya siku ya uto day ili tuwavuruge vizuri
Unamvuruga nani? kwamba mtu ana ticket yake aache kwenda uwanjani ashangae uzinduzi wa bikini zenuTutazindua jezi zetu siku ya wananchi, ili tuwavuruge vizuri.
Wewe mvaa bikini hauwezi kuelewa ninachomaanisha.Unamvuruga nani? kwamba mtu ana ticket yake aache kwenda uwanjani ashangae uzinduzi wa bikini zenu
Party ya kunukishana vinyesi?Ona hii kenge sasa blauzi zenu zinahusika nini na party la mabingwa
Umeshaishiwa porojo, huna jipya tena.Kuna mgongano wa kimaslahi kidogo na ucheleweshaji wa oda kutokana na kuchelewa kwa jina la mdhamini mpya M BET... kwa hiyo wanaharakisha ndani ya wiki hii zitatoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka mnooo, unalazimisha furaha na venye hamna lolSiku ya Mwananchi jezi utamuuzia nani wakati Simba wenyewe ni wananchi. Hakuna ata Mwananchi mmoja katika Nchi hii atakubali kupitwa na jambo la kitaifa.
Siku ya Mwananchi ni siku ya kitaifa Kwa wananchi kupitia redio,television n.k kujumuika katika matukio ya Uwanjani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna historia FC uko bitter sana? Vipi kwan?Unamvuruga nani? kwamba mtu ana ticket yake aache kwenda uwanjani ashangae uzinduzi wa bikini zenu
Wanadaiwa ushuru bandarini,hawana fedha za kulipiaKwanini Simba haijazindua jezi zake ikiwa zimebaki siku 4 kabla ya Siku ya Simba?
Jezi za Simba hazijawahi kuwa na demand kubwa kushinda za Yanga. Hata hivyo vitambaa vyenu viko tayari na napambana hapa kuna mwanangu alipiga picha zote, nikuhakikishie ni MBOVU.Biashara hapo inafanyika wakitangaza tarehe 5 usiku tukio la tarehe 6 litafunikwa na jezi zitatafutwa maana demand ni kubwa sana utaona foleni zitakazopangwa kwenye maduka ya vunjabei
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Ishu sio kuvuja, UBORA. usijitoe ufahamu zikivuja wakati ni BORA hazitouzika? Utetezi wa kifala sana mlioambiwa na mlivyo mambumbumbu mkakubali, hamna akili kichwani.Kwa ambao tulikua space ya simba barbra alisema hawatotangaza muda wa kuzindua jezi maana last season walipotangaza kuna watu wakampata mtengenezaji wa jezi huko china aliekua na big order wakamlaghai kidogo zikavuja ikabidi wabadilishe ghafla kusave mauzo
Hawataki hilo lijirudie wamesema
Leta lako jipya mkuuUmeshaishiwa porojo, huna jipya tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti
Siwezi kuelewa mambo kike unayo niambiaWewe mvaa bikini hauwezi kuelewa ninachomaanisha.