Kwanini Simba huingiza kikosi kamili kwenye kombe la mapinduzi?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita

Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.

2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.

3. Mashabiki wake wengi ni mbumbumbu, na wanapenda sana kulalamika hovyo. Kwa hiyo viongozi na benchi la ufundi wanalazimika kuwachezesha wachezaji wale wale kuka mechi, ili tu ushindi upatikane......according to Tate Mkuu

NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
 
Nadhani kocha anayatumia kujenga kikosi ambacho kiliaminika kuwa kimepoteza uimara lakini pia 100ml sio ndogo ye na ndugu yake Zaka za Kazi wanaipambania sana
Lkn mudi billionaire wetu anapesa nyingi
 
Umeona wanachokifanya wananchi??
 
3. Mashabiki wake wengi ni mbumbumbu, na wanapenda sana kulalamika hovyo. Kwa hiyo viongozi na benchi la ufundi wanalazimika kuwachezesha wachezaji wale wale kuka mechi, ili tu ushindi upatikane.
 
Kwani kanuni za mashindano zinasemaje?
 
Mleta mada ni nyoka wa kijani. Kama wachezaji hawako timu ya taifa unataka wakae tu au wakauze bangi?? Mashindano haya huenda kocha anayatumia kwa kukijenga kikosi na utimamu wa mwili kwa wachezaji. First 11 iko kwenye akili yako tu ila mchezaji yeyote anaweza kuwa ktk first 11 kama ni wa club husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…