Kwanini Simba huingiza kikosi kamili kwenye kombe la mapinduzi?

Unauliza swali ambalo jibu lake liko wazi kabisa. Kwani mbadala wa hao wachezaji wako wapi? Unaweza ukaniambia alipo Mohamed Hussein na Enock Inonga? Wangekuwepo, wasingeqnza?
mbona hamzungumzii singida au azam kuanza na full mkoko? Utopolo bhana, kisa unachezesha wavulana unataka na simba ifanye hivyo hivyo. Kila timu na mipango yake
 
Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita

Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.

2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.

NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi
Utopolo naona wameanza kuweweseka baada ya timu Yao ku-flop.. Hapo wanaandaa visingizio kuwa kushindwa kwao kung'aa ni kwa kuwa hawatumii kikosi cha kwanza! Sijui Mzize na Zengeli ni wa kikosi cha pili au? Kwa taarifa yako kikosi cha kwanza huwa kina watu zaidi ya 11. Hawawezi kucheza wote kwa wakati mmojà!
 
Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita

Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.

2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.

NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
Sababu kuu na ya msingi ni kwamba kwenye ligi wanajua kabisa Awana Chao, ivyo wanawekeza kwenye makombe ya mbuzi angalau wapate pa kupumulia kwa mashabiki wao, pia wachezaji wao wengi wa kikosi Cha kwanza wapo kocha anaona awatumie tu maana wakaa benchi ndo ovyo kabisa!
 
Kuna wachezaji wangapi wameenda kushiriki mashindano ya Afrika na Simba imetoa wachezaji wangapi. Kuna mchezaji Kama Saidoo hajacheza hata mechi moja. Nyinyi mliokuwa mnajisifu mna kikosi kipana inapneka mna kikosi kikubwa mpaka kocha wenu amekosoa.
 
Kocha wa Simba anashukuru kupata haya mashindano na anayatumia kuijenga timu yake.

Kwa popoma Kama wewe umeshindwa kabisa kung'amua hilo?
 
Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita

Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.

2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.

NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
Kwani masharti ya vikosi vya kombe la mapinduzi yapoje?
Pia kikosi kamili ni kipi? Je kuna timu huwa zinaingiza wachezaji pungufu uwanjani tofauti na idadi inayoelekezwa ma sheria za soka?
 
Kwani hao wachezaji unaowaita first eleven kazi yao ni ipi? Wana mikataba kwa ajili ya kusakata kabumbu.

Ukijifanya una kikosi kipana utaishia kudhulumiana na Jamus FC ya wajaluo wa sudani kusini.

Kupanga ni kuchagua
Ni muda wakuwapa nafasi Simba b
 
Wacha tu nikukibu japo napoteza muda kwa swali ambalo umeuliza na kujijibu mwenyewe. Hii ni preseason kwa kocha kwani hakupata time ya kuingiza vitu vyake.
Angewapa nafasi vijana zaidi
 
Hilo ndio swali gani? yaani ni sawa na uulize kwenye mashindano fulani ya boxing kwanini bondia fulani anarusha ngumi nzito.
UTOPOLO mna tabu, ulitaka SIMBA aje kizembe? hizo ni mbinu za kocha, wachezaji ni wake na wamesajiliwa kwa ajili ya kucheza, alishaamua anataka vikombe vyote hivyo kuweni wapole.
Mkuu hizi sio mechi za kuwatumia kina kapombe
 
Unauliza swali ambalo jibu lake liko wazi kabisa. Kwani mbadala wa hao wachezaji wako wapi? Unaweza ukaniambia alipo Mohamed Hussein na Enock Inonga? Wangekuwepo, wasingeqnza?
Anazingua.... kweli mapinduzi cup ndiyo ya kuwapeleka mastaa kina Phil.... ayubu
 
Sababu kuu na ya msingi ni kwamba kwenye ligi wanajua kabisa Awana Chao, ivyo wanawekeza kwenye makombe ya mbuzi angalau wapate pa kupumulia kwa mashabiki wao, pia wachezaji wao wengi wa kikosi Cha kwanza wapo kocha anaona awatumie tu maana wakaa benchi ndo ovyo kabisa!
Na ndio wanaongoza kubeba hili kombe
 
Kuna wachezaji wangapi wameenda kushiriki mashindano ya Afrika na Simba imetoa wachezaji wangapi. Kuna mchezaji Kama Saidoo hajacheza hata mechi moja. Nyinyi mliokuwa mnajisifu mna kikosi kipana inapneka mna kikosi kikubwa mpaka kocha wenu amekosoa.
That's y anawapa nafasi vijana
 
Back
Top Bottom