mbona hamzungumzii singida au azam kuanza na full mkoko? Utopolo bhana, kisa unachezesha wavulana unataka na simba ifanye hivyo hivyo. Kila timu na mipango yakeUnauliza swali ambalo jibu lake liko wazi kabisa. Kwani mbadala wa hao wachezaji wako wapi? Unaweza ukaniambia alipo Mohamed Hussein na Enock Inonga? Wangekuwepo, wasingeqnza?
Utopolo naona wameanza kuweweseka baada ya timu Yao ku-flop.. Hapo wanaandaa visingizio kuwa kushindwa kwao kung'aa ni kwa kuwa hawatumii kikosi cha kwanza! Sijui Mzize na Zengeli ni wa kikosi cha pili au? Kwa taarifa yako kikosi cha kwanza huwa kina watu zaidi ya 11. Hawawezi kucheza wote kwa wakati mmojà!Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita
Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.
2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.
NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi
Bro umeamua sasa kumkanyaga chura 😂😂kuwa hawatumii kikosi cha kwanza! Sijui Mzize na Zengeli ni wa kikosi cha pili au? Kwa taarifa yako kikosi cha kwanza huwa kina watu zaidi ya 11.
Sababu kuu na ya msingi ni kwamba kwenye ligi wanajua kabisa Awana Chao, ivyo wanawekeza kwenye makombe ya mbuzi angalau wapate pa kupumulia kwa mashabiki wao, pia wachezaji wao wengi wa kikosi Cha kwanza wapo kocha anaona awatumie tu maana wakaa benchi ndo ovyo kabisa!Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita
Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.
2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.
NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
HahahhaahahahahahahahahaTimu kubwa imekuwa kauka nikuvae
Kwani masharti ya vikosi vya kombe la mapinduzi yapoje?Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita
Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.
2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.
NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
Ni muda wakuwapa nafasi Simba bKwani hao wachezaji unaowaita first eleven kazi yao ni ipi? Wana mikataba kwa ajili ya kusakata kabumbu.
Ukijifanya una kikosi kipana utaishia kudhulumiana na Jamus FC ya wajaluo wa sudani kusini.
Kupanga ni kuchagua
Mkuu hizi sio mechi za kuwatumia kina kapombeHilo ndio swali gani? yaani ni sawa na uulize kwenye mashindano fulani ya boxing kwanini bondia fulani anarusha ngumi nzito.
UTOPOLO mna tabu, ulitaka SIMBA aje kizembe? hizo ni mbinu za kocha, wachezaji ni wake na wamesajiliwa kwa ajili ya kucheza, alishaamua anataka vikombe vyote hivyo kuweni wapole.
Anazingua.... kweli mapinduzi cup ndiyo ya kuwapeleka mastaa kina Phil.... ayubuUnauliza swali ambalo jibu lake liko wazi kabisa. Kwani mbadala wa hao wachezaji wako wapi? Unaweza ukaniambia alipo Mohamed Hussein na Enock Inonga? Wangekuwepo, wasingeqnza?
Pambaneni na litimu lenu...Tumieni Simba b ....mkuze vipaji vya vijana
Na ndio wanaongoza kubeba hili kombeSababu kuu na ya msingi ni kwamba kwenye ligi wanajua kabisa Awana Chao, ivyo wanawekeza kwenye makombe ya mbuzi angalau wapate pa kupumulia kwa mashabiki wao, pia wachezaji wao wengi wa kikosi Cha kwanza wapo kocha anaona awatumie tu maana wakaa benchi ndo ovyo kabisa!
That's y anawapa nafasi vijanaKuna wachezaji wangapi wameenda kushiriki mashindano ya Afrika na Simba imetoa wachezaji wangapi. Kuna mchezaji Kama Saidoo hajacheza hata mechi moja. Nyinyi mliokuwa mnajisifu mna kikosi kipana inapneka mna kikosi kikubwa mpaka kocha wenu amekosoa.