Kwanini Simba huingiza kikosi kamili kwenye kombe la mapinduzi?

We jamaa ni Yanga mwenzangu. Ila ni kilaza sana. Mpaka kuna wakati naona aibu. Tatizo ni nini? Lishe si nzuri?
 
We jamaa ni Yanga mwenzangu. Ila ni kilaza sana. Mpaka kuna wakati naona aibu. Tatizo ni nini? Lishe si nzuri?
Mimi sina timu mkuu......sisi wachambuzi hatuna timu kazi yetu ni kuusemea mpira wa bongo......

Timu ikizingua tunaichana makavu
 
Sasa hawapo nitajuaje, hata kama mada ni ya kipuuzi kisa kaandika mwanayanga unakubaliana nayo

Anyway naona huu ujinga wa wengi jukwaani.
Kwa hiyo hata wachezaji walioitwa kwenye timu zao za Taifa kutoka Simba na Yanga, hata huwajui!! Uko dunia ya wapi mkurugenzi!!
 
Mimi naona Simba wako sawa Kwa wakati walionao. Kocha kaja mpya kapata bahati ya kupata mashindano yasiyo rasmi kutekeleza mbinu zake sasa afanyeje. Lakini pia ligi iko mbali huenda ikarudi mwezi wa pili naona hana cha kupoteza. Hata Yanga mwisho wa siku watalazimika tu kutafuta mechi za kirafiki ili wajiweke fiti.
 
Unauliza swali ambalo jibu lake liko wazi kabisa. Kwani mbadala wa hao wachezaji wako wapi? Unaweza ukaniambia alipo Mohamed Hussein na Enock Inonga? Wangekuwepo, wasingeqnza?
Punguzeni shobo,msitupangie cha kufanya....[emoji23][emoji23]
 
Mimi sina timu mkuu......sisi wachambuzi hatuna timu kazi yetu ni kuusemea mpira wa bongo......

Timu ikizingua tunaichana makavu
Wewe mchaa mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…