Muzamir sio chaguo la kwanza la makochaa kadhaa wa Simba waliopita au wewe unaisshi Tqnzania ipi?!Simba ipi mzamiru anakaa benchi?
Moja ya mchezaji simuelewi kbsa simuelwi. Kbsa amewezaje kuitwa timu ya taifa
Dunia sio lazima uelewe Kila kitu,hapo Ndio uwezo wako ulipoishia Wala usijilaumu saaana!Moja ya mchezaji simuelewi kbsa simuelwi. Kbsa amewezaje kuitwa timu ya taifa
Hata Mimi nimeshangaa..Bora umewahi kuulizaSimba ipi mzamiru anakaa benchi?
Mechi zote ????!!! Acha Uongo...sijasema.Mzamiru huwa hachezi ,Bali sio First Eleven,hata ktk Ligi Kuu,!Acha uongo Mzamiru kacheza match zote za kimataifa pamoja na match nyingi sana Ligi Kuu... sijui labda kuna mzamiru mwingine unaemjua wewe.
Nitajie chaguo la kwanza.....Muzamir sio chaguo la kwanza la makochaa kadhaa wa Simba waliopita au wewe unaisshi Tqnzania ipi?!
Mechi ya Timu Bora na Underdog imeisha, kilichobaki ni mashabiki vitumbua kuanza uchambuzi wao unaoegemea Ussimba na Uyanga
Hoja yangu ni Moja t, nafikiri Simba huwa Ina m-underrate Muzamir Yasin
kijana anajua kukata umeme. Ukiangalia Performance yake Leo na wale wachezaji wa Daraja la Dunia unajiuliza inakuwaje huyu jamaa anasugua Benchi la Simba mara nyingi vile?
Nafikiri hata Makocha wengine wanajua uwezo wa Muzamir ndio maana pamoja na kisuguaa Bench Simba bado anaitwa Taifa Stars.
Uzi tayari