Mechi ya Timu Bora na Underdog imeisha, kilichobaki ni mashabiki vitumbua kuanza uchambuzi wao unaoegemea Ussimba na Uyanga
Hoja yangu ni Moja t, nafikiri Simba huwa Ina m-underrate Muzamir Yasin
kijana anajua kukata umeme. Ukiangalia Performance yake Leo na wale wachezaji wa Daraja la Dunia unajiuliza inakuwaje huyu jamaa anasugua Benchi la Simba mara nyingi vile?
Nafikiri hata Makocha wengine wanajua uwezo wa Muzamir ndio maana pamoja na kisuguaa Bench Simba bado anaitwa Taifa Stars.
Uzi tayari