Kwanini Simba huwa inamdidimiza Muzamir Yassin?

Kwanini Simba huwa inamdidimiza Muzamir Yassin?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Mechi ya Timu Bora na Underdog imeisha, kilichobaki ni mashabiki vitumbua kuanza uchambuzi wao unaoegemea Ussimba na Uyanga

Hoja yangu ni Moja t, nafikiri Simba huwa Ina m-underrate Muzamir Yasin

kijana anajua kukata umeme. Ukiangalia Performance yake Leo na wale wachezaji wa Daraja la Dunia unajiuliza inakuwaje huyu jamaa anasugua Benchi la Simba mara nyingi vile?

Nafikiri hata Makocha wengine wanajua uwezo wa Muzamir ndio maana pamoja na kisuguaa Bench Simba bado anaitwa Taifa Stars.

Uzi tayari
 
Anahitaji muda wa kutosha kufanya maamuzi,muda ambao huupata akicheza na namungo tu
 
Acha uongo Mzamiru kacheza match zote za kimataifa pamoja na match nyingi sana Ligi Kuu... sijui labda kuna mzamiru mwingine unaemjua wewe.
 
Acha uongo Mzamiru kacheza match zote za kimataifa pamoja na match nyingi sana Ligi Kuu... sijui labda kuna mzamiru mwingine unaemjua wewe.
Mechi zote ????!!! Acha Uongo...sijasema.Mzamiru huwa hachezi ,Bali sio First Eleven,hata ktk Ligi Kuu,!
 
First eleven hata kocha haijui, we hiyo unayosema Mzamiru hayupo umeitoa wapi?
 
Muzamir sio chaguo la kwanza la makochaa kadhaa wa Simba waliopita au wewe unaisshi Tqnzania ipi?!
Nitajie chaguo la kwanza.....
Msimu uliopita Whole season kacheza kwa Da rossa.
Msimu huu hakuna aliyekuwa na uakika wa kuanza kwenye mid ya simba.
 
Muzamir anapewa sana nafasi Simba na ni miongoni mwa wanaoongoza kwa kutoa pasi mkaa.
 
Mechi ya Timu Bora na Underdog imeisha, kilichobaki ni mashabiki vitumbua kuanza uchambuzi wao unaoegemea Ussimba na Uyanga

Hoja yangu ni Moja t, nafikiri Simba huwa Ina m-underrate Muzamir Yasin

kijana anajua kukata umeme. Ukiangalia Performance yake Leo na wale wachezaji wa Daraja la Dunia unajiuliza inakuwaje huyu jamaa anasugua Benchi la Simba mara nyingi vile?

Nafikiri hata Makocha wengine wanajua uwezo wa Muzamir ndio maana pamoja na kisuguaa Bench Simba bado anaitwa Taifa Stars.

Uzi tayari

Muzammil anatokea wapi? Kama ni mzanzibari basi wachunguzwe vizuri wapanga vikosi, kwanza wachezaji wa kizanzibar wametuzidi sana, muzammil, feisal salum, nizar khalfan enzi zake kama sikosei huyu ni mzanzibar, endelea na wengine labda huyu ndugu yangu atakua anawajua dos.2020
 
Back
Top Bottom