GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ya Patandi FC.Kama una kumbukumbu nzuri ni timu gani ktk hizo mbili ilinusurika kushuka daraja mwaka uleeeeee?!!
Hivi ni mwaka gani ambao yanga alimbeba Simba?Kama una kumbukumbu nzuri ni timu gani ktk hizo mbili ilinusurika kushuka daraja mwaka uleeeeee?!!
Pole nahisi ulikuwa bado hujazaliwa..Ya Patandi FC.
Swali lako linge eleweka vizuri zaidi ungeandika hivi "Kwa nini kila mechi Yanga ikishinda wapinzani wanasepa Yanga kashinda kwa kutumia bahasha",.Wao wenyewe Wameshakula (Wameshafungwa) mno nasi Goli 6 kwa 0, Goli 5 kwa 0 huku hizi Goli Nne Nne (4) akiwa ameshafungwa mara nyingi tu ila Watu wa Simba SC wala Hawawehuki hovyo na Kishamba kama Wao...
Sijasema Yanga alimbeba Simba! Yanga hawezi kumbeba Simba abadan! Walikuwepo na wapo wanaombeba Simba hata leo. Yanga ana hadhi kubwaaa buannaaaa!!!Hivi ni mwaka gani ambao yanga alimbeba Simba?
Acha uongo Simba alijinusuru mwenyewe kwa kutoa sare na African Sport
Usinipangie cha Kuandika hapa JamiiForums na huna Mamlaka hayo sawa? Iwe mwanzo na mwisho.Swali lako linge eleweka vizuri zaidi ungeandika hivi "Kwa nini kila mechi Yanga ikishinda wapinzani wanasepa Yanga kashinda kwa kutumia bahasha"...
Kuna vilaza wanawapotosha watu eti yanga aliibeba simba kwa kuruhusu simba washindeSijasema Yanga alimbeba Simba! Yanga hawezi kumbeba Simba abadan! Walikuwepo na wapo wanaombeba Simba hata leo. Yanga ana hadhi kubwaaa buannaaaa!!!
Wewe jamaa ni taahira seriousWao wenyewe Wameshakula (Wameshafungwa) mno nasi Goli 6 kwa 0, Goli 5 kwa 0 huku hizi Goli Nne Nne (4) akiwa ameshafungwa mara nyingi tu ila Watu wa Simba SC wala Hawawehuki hovyo na Kishamba kama Wao...
Mnaumia sana nyie makolo kwa mafanikio ya wenzenu,makol9 si watu wa mpira.Usinipangie cha Kuandika hapa JamiiForums na huna Mamlaka hayo sawa? Iwe mwanzo na mwisho.
upofu wa mawazoWao wenyewe Wameshakula (Wameshafungwa) mno nasi Goli 6 kwa 0, Goli 5 kwa 0 huku hizi Goli Nne Nne (4) akiwa ameshafungwa mara nyingi tu ila Watu wa Simba SC wala Hawawehuki hovyo na Kishamba kama Wao.
Wakimbahatisha tu Kumfunga Mjinga Mjinga Goli nyingi Wataanza Kutamba Mitaani, Mitandaoni na Redioni kama vile hata Robo Fainali tu ya CAFCL wameshawahi Kuinusa / Kuiingia hata mara moja wakati Wenzao (Simba SC) hiyo hatua tumeshafika mara Tatu mpaka sasa tumeikinai na tunataka ama tuivuke tuingie Nusu.
Fainali au Fainali kabisa.
Uko sahihi Mimi ni Taahira Serious, ila ninachochangaa pamoja na Kulijua hilo bado tu Majuha ( Fools ) kama Wewe hamuachi Kunifuatilia Kutwa hapa JamiiForums katika kila Mada zangu.
Kama ambavyo sisi huwa hatushangilii nyinyi mkiweka mpira kwapani na kutokomea mitaani.[emoji16][emoji23][emoji23]Wao wenyewe Wameshakula (Wameshafungwa) mno nasi Goli 6 kwa 0, Goli 5 kwa 0 huku hizi Goli Nne Nne (4) akiwa ameshafungwa mara nyingi tu ila Watu wa Simba SC wala Hawawehuki hovyo na Kishamba kama Wao.
Wakimbahatisha tu Kumfunga Mjinga Mjinga Goli nyingi Wataanza Kutamba Mitaani, Mitandaoni na Redioni kama vile hata Robo Fainali tu ya CAFCL wameshawahi Kuinusa / Kuiingia hata mara moja wakati Wenzao (Simba SC) hiyo hatua tumeshafika mara Tatu mpaka sasa tumeikinai na tunataka ama tuivuke tuingie Nusu.
Fainali au Fainali kabisa.
Wewe unatokea mitaa ipi ambayo simba hawashangilii wakishinda? Utakuwa mburundi weweWao wenyewe Wameshakula (Wameshafungwa) mno nasi Goli 6 kwa 0, Goli 5 kwa 0 huku hizi Goli Nne Nne (4) akiwa ameshafungwa mara nyingi tu ila Watu wa Simba SC wala Hawawehuki hovyo na Kishamba kama Wao.