GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wao wenyewe Wameshakula (Wameshafungwa) mno nasi Goli 6 kwa 0, Goli 5 kwa 0 huku hizi Goli Nne Nne (4) akiwa ameshafungwa mara nyingi tu ila Watu wa Simba SC wala Hawawehuki hovyo na Kishamba kama Wao.
Wakimbahatisha tu Kumfunga Mjinga Mjinga Goli nyingi Wataanza Kutamba Mitaani, Mitandaoni na Redioni kama vile hata Robo Fainali tu ya CAFCL wameshawahi Kuinusa / Kuiingia hata mara moja wakati Wenzao (Simba SC) hiyo hatua tumeshafika mara Tatu mpaka sasa tumeikinai na tunataka ama tuivuke tuingie Nusu.
Fainali au Fainali kabisa.