Kaka timu Zina kupanda na kushuka, Simba imeshuka inasaidiwa na takwimu za zamani wakati Iko juu, hata hivyo hakuna asiyejua kuwa Simba waliwasha moto kiwanjani kule SA. Sasa kama waliweza kufanya vile kule SA je kwamkapa walifanya mangapi?Unajifariji tu utopolo. Timu haipo hata top 20 Bora barani Afrika halafu ndio iwe goliath?
Yamekomaa ukipata nafasi wee ndio mke Sasa haisee kazi kweli kweliMuulize aliyejamba baada ya kushindiliwa na Kibu D atakupa jibuView attachment 2592392
Naona ndugu wa marehemu mliotuchelewesha tusizike ndiyo mnaingia mnaamsha vilio tenaNilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai.
Huyu alikuwa ni mwanafunzi ambae kila siku tukitoka shuleni alikuwa anatusubiri njiani kutupiga bila sababu ya maana. Alikuwa akitunyang'anya kila kitu chetu hadi ikalazimika wazazi wetu kutufuata shuleni kuturudisha nyumbani kwa usalama wetu. Tangu siku hiyo mathayo akaacha tabia yake ile.
Simba waliingia uwanjani kupigana na Mathayo wao (Yanga). Waliingia kama wanyonge na walioapizwa kuhakikisha kuwa mathayo anakufa kwa njia yoyote ile maana wamechoka kuonewa na Yanga.
Simba kuifunga yanga haiondoi ukweli kwamba Yanga ni bora kuliko Simba, ni kama vile walifunga kwa bahati mbaya kwa kutumia jiwe (goli la mapema lililotokana na adhabu ambayo haikuwa adhabu) na kuzirai moja kwa moja. Ukweli huu mtauona siku yanga ikikutana na Simba tena kwenye mashindano ya FA. lilikuwa jiwe tu sio ngumi wala teke.
Wachambuzi wetu wamepata pa kushikia baada ya kuinamishwa vichwa vyao kwa muda mrefu sana na yanga. Ni heri mkaendelea kusema Simba ni mbovu badala ya kuijaza kichwa kwa kuifunga yanga ki mchongo ili iendelee kukiboresha kikosi chake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nitag,Hii ni kwa mujibu wa CAF, au wewe? [emoji16][emoji16][emoji16]
Poleee kwa kutesekaaa bhanaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba hawakutegemea kile kilichotokea cha golieth na daudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muulize aliyejamba baada ya kushindiliwa na Kibu D atakupa jibuView attachment 2592392
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kosa walilolifanya Simba ni kutowafunga 5.Hizi kelele zilizobaki zingekoma.Kocha Nabi amechanganyikiwa.
Kiboko yake yupo alipotajiwa akaweweseka na kumtaja Mourinho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kweli umevurugwaaa, na nyie Zalan Fc ?? PoleeeeehKwani Simba ameipataje nafasi ya kushiri champions, alikuwa bigwa wa nini msimu uliopita? Simba imeshuka viwango, hata kufika hapo alipo alipangiwa uchochoro wa big bullets, de agosto, kisha Vipers vibonde kwenye mashindano.
Endelea kujifariji.Hata juzi uliwashwa Moto ndio maana mkakandamizwa. Hata mlipopigwa 5G, 4G ilikuwa ni moto. Timu inatajwa kuwa bora kutokana na mafanikio kwenye mashindano au ligi kubwa inayoshiriki. Sasa nyinyi ni Bora kutokana na mashindano au ligi ipi?Kaka timu Zina kupanda na kushuka, Simba imeshuka inasaidiwa na takwimu za zamani wakati Iko juu, hata hivyo hakuna asiyejua kuwa Simba waliwasha moto kiwanjani kule SA. Sasa kama waliweza kufanya vile kule SA je kwamkapa walifanya mangapi?
Duh hizi hoja zako zinafurahisha.Kwani Raja Casablanca amepataje nafasi champions alikuwa bingwa wa nini? Mnajivunia kumfunga TP Mazembe Ila Vipers aliemtoa TP Mazembe mnamuona ni kibonde. Hakuna timu Bora halafu inashiriki shirikisho.Jueni huo ukweli.Kwani Simba ameipataje nafasi ya kushiri champions, alikuwa bigwa wa nini msimu uliopita? Simba imeshuka viwango, hata kufika hapo alipo alipangiwa uchochoro wa big bullets, de agosto, kisha Vipers vibonde kwenye mashindano.
BELEJE BAELEWE! šNaona ndugu wa marehemu mliotuchelewesha tusizike ndiyo mnaingia mnaamsha vilio tena
Hata watopolo wenzako wamekupotezea tu. Kubali mlizidiwa kimchezo,hakuna maelezo zaidi ya ukweli huu,wote mchezo tuliushuhudia.Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai.
Huyu alikuwa ni mwanafunzi ambae kila siku tukitoka shuleni alikuwa anatusubiri njiani kutupiga bila sababu ya maana. Alikuwa akitunyang'anya kila kitu chetu hadi ikalazimika wazazi wetu kutufuata shuleni kuturudisha nyumbani kwa usalama wetu. Tangu siku hiyo mathayo akaacha tabia yake ile.
Simba waliingia uwanjani kupigana na Mathayo wao (Yanga). Waliingia kama wanyonge na walioapizwa kuhakikisha kuwa mathayo anakufa kwa njia yoyote ile maana wamechoka kuonewa na Yanga.
Simba kuifunga yanga haiondoi ukweli kwamba Yanga ni bora kuliko Simba, ni kama vile walifunga kwa bahati mbaya kwa kutumia jiwe (goli la mapema lililotokana na adhabu ambayo haikuwa adhabu) na kuzirai moja kwa moja. Ukweli huu mtauona siku yanga ikikutana na Simba tena kwenye mashindano ya FA. lilikuwa jiwe tu sio ngumi wala teke.
Wachambuzi wetu wamepata pa kushikia baada ya kuinamishwa vichwa vyao kwa muda mrefu sana na yanga. Ni heri mkaendelea kusema Simba ni mbovu badala ya kuijaza kichwa kwa kuifunga yanga ki mchongo ili iendelee kukiboresha kikosi chake.
Kaongezeka mmoja Haji Manara wamekuwa watatuKuna wakati unajikuta tu umeshasoma post kutoka kwa mtu mpumbavu. Mpumbavu wa Moira, asiyejua anaongea Nini.
Ila Nina mashaka na unachotumia kufikiri si kichwa.
Utopoloni wenye maarifa Ni wawili tu!
Akijibu kwa takwimu ni tag.Sana sana atakuambia ohh tutachukua ubingwa.Walichukua ubingwa msimu uliopita na matokeo wakaangukia kwenye Losers Cup.Eti Yanga ni nini kuliko Simba? Twende kwenye takwimu za kimataifa tukianzia CAF Yanga ni ya ngapi na Simba ni ya ngapi? Au ubora upi unaouzungumzia?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kweli Mbumbumbu ni mbumbumbu tu, kimataifa hakuna dhana ya timu Yangu Inashika nafasi ya ngapi katika rank za CAF kwakua Kila mwaka tangu mashindano ya anzishwe izo namba hubadilika.Eti Yanga ni nini kuliko Simba? Twende kwenye takwimu za kimataifa tukianzia CAF Yanga ni ya ngapi na Simba ni ya ngapi? Au ubora upi unaouzungumzia?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app