Kwanini Simba wamesherehekea mno kuifunga Yanga?

Metacha ni mchezaji na mgunda ni kocha. Mchezaji anaingia katika timu (anasajiliwa) katika vipindi viwili tu katika msimu, lakini kocha anaingia muda wowote, hata timu kumi anaweza akabadili kwa msimu mmoja. So, ni rahisi kumuacha na kumuajiri kocha maana mapengo yanazibika na hayana kanuni ngumu, lakini mchezaji haachwi au kusajiliwa kirahisi muda wowote (mfano Feisal, Yanga hawawezi kumuacha kirahisi, ni heri kwao wamuache Nabi kuliko Feisal katikati ya msimu).

Singida walimtoa kwa Yanga kipa wao namba moja halafu wakabaki wanamtegemea kipa namba mbili na tatu, hicho ndicho kilichowashangaza wachambuzi. Yaani ni sawa na Yanga kuipa Mbeya City imchukue Djigui Diara katikati ya msimu, halafu ibaki na Johora
Huyo ndondocha hawezi kukuelewa kwa sababu hafikiri.Uwezo alionao wa kufikiri ni mdogo sana ndio maana,analinganisha kocha na mchezaji!
 
Halafu ikawaje Chama alipotolewa?Waliomzomea kocha ndio wana akili ya mgando kama ya kwako.Hao hao ndio leo wanambeba.Wewe ni plastic fan wa kuabudu mchezaji.Team ni a group of people.Ndio maana
mpira ni team work na sio drafti, bao au ngumi.
Hizo ni ngonjela, mpia ni Messi, Ronaldo, Haland, mbampe, benzema, Chama, maladona, Pele ambao wakikosekana hali ni Tete siku hiyo
 
Metacha ni mchezaji na mgunda ni kocha. Mchezaji anaingia katika timu (anasajiliwa) katika vipindi viwili tu katika msimu, lakini kocha anaingia muda wowote, hata timu kumi anaweza akabadili kwa msimu mmoja. So, ni rahisi kumuacha na kumuajiri kocha maana mapengo yanazibika na hayana kanuni ngumu, lakini mchezaji haachwi au kusajiliwa kirahisi muda wowote (mfano Feisal, Yanga hawawezi kumuacha kirahisi, ni heri kwao wamuache Nabi kuliko Feisal katikati ya msimu).

Singida walimtoa kwa Yanga kipa wao namba moja halafu wakabaki wanamtegemea kipa namba mbili na tatu, hicho ndicho kilichowashangaza wachambuzi. Yaani ni sawa na Yanga kuipa Mbeya City imchukue Djigui Diara katikati ya msimu, halafu ibaki na Johora
Mgunda alikuwa na mkataba hai na coastal hawakugimbana bae lakini alichukuliwa bila kuulizwa coastal
 
Ndio upoyoyo wenyewe huo.Kocha anaweza kuvunja mkataba wakati wowote akitaka mradi alipe mkataba wake kama uko hai.Kama hata hilo hujui hupaswi kujadili chochote kuhusu mpira.
 
Upoyoyo tutaelewena TU uwa Wydad imeshuka kiwango kabisa msimu huu. Simba ni level ya namungo sio Wydad. Msimu huu haipati chochote labda Mafi yenu,
 
Hivi unasoma unachoandika?Mwalimu wako alikuwa ana kazi sana kukufundisha.Ni zaidi ya kufundisha fisi kupanda mti.
 
Bahati nzuri mimi nilianza kuupenda mpira kabla ya kuzipenda timu, hivyo jicho langu na uandishi wangu unazingatia kanuni hii. Siwezi kuidanganya wala kuitetea timu yangu hata kama haiko sawa. Huyu jamaa ndio anagundua leo kuwa wachezaji haina hata ile derby walishinda kibahatibahati tu.

Back
Top Bottom