Kwanini Simba wamesherehekea mno kuifunga Yanga?

Huyo ndondocha hawezi kukuelewa kwa sababu hafikiri.Uwezo alionao wa kufikiri ni mdogo sana ndio maana,analinganisha kocha na mchezaji!
 
Halafu ikawaje Chama alipotolewa?Waliomzomea kocha ndio wana akili ya mgando kama ya kwako.Hao hao ndio leo wanambeba.Wewe ni plastic fan wa kuabudu mchezaji.Team ni a group of people.Ndio maana
mpira ni team work na sio drafti, bao au ngumi.
Hizo ni ngonjela, mpia ni Messi, Ronaldo, Haland, mbampe, benzema, Chama, maladona, Pele ambao wakikosekana hali ni Tete siku hiyo
 
Mgunda alikuwa na mkataba hai na coastal hawakugimbana bae lakini alichukuliwa bila kuulizwa coastal
 
Mgunda alikuwa na mkataba hai na coastal hawakugimbana bae lakini alichukuliwa bila kuulizwa coastal
Ndio upoyoyo wenyewe huo.Kocha anaweza kuvunja mkataba wakati wowote akitaka mradi alipe mkataba wake kama uko hai.Kama hata hilo hujui hupaswi kujadili chochote kuhusu mpira.
 
Ndio upoyoyo wenyewe huo.Kocha anaweza kuvunja mkataba wakati wowote akitaka mradi alipe mkataba wake kama uko hai.Kama hata hilo hujui hupaswi kujadili chochote kuhusu mpira.
Upoyoyo tutaelewena TU uwa Wydad imeshuka kiwango kabisa msimu huu. Simba ni level ya namungo sio Wydad. Msimu huu haipati chochote labda Mafi yenu,
 
Upoyoyo tutaelewena TU uwa Wydad imeshuka kiwango kabisa msimu huu. Simba ni level ya namungo sio Wydad. Msimu huu haipati chochote labda Mafi yenu,
Hivi unasoma unachoandika?Mwalimu wako alikuwa ana kazi sana kukufundisha.Ni zaidi ya kufundisha fisi kupanda mti.
 
Bahati nzuri mimi nilianza kuupenda mpira kabla ya kuzipenda timu, hivyo jicho langu na uandishi wangu unazingatia kanuni hii. Siwezi kuidanganya wala kuitetea timu yangu hata kama haiko sawa. Huyu jamaa ndio anagundua leo kuwa wachezaji haina hata ile derby walishinda kibahatibahati tu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…