High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Unakuta toleo la mwaka huohuo lakini bei imeshuka sana tofauti na iphone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka na mfano kabisa ni simu gani,maana inavyofahamika huwa zinapishana thamani toka zikiwa mpya kwa tofauti ya dolla 200 mpaka 400.kwahiyo gape hilo linadumu wakati wote.tafuta iphone 8 na s7 zinaendelea kudumisha gape.
MWANAUME MPAKA SASA NI HUAWEI, HIZO NYENGINE MNAPIGWA FEKI MPAKA MTAJUTA
Sent using Jamii Forums mobile app
Samsung wanatoa simu nyingi sana sokoni na wanamatoleo mengi sana hawapishanishiNi kweli mkuu... mfano iPhone Xs Max ambayo ilitoka pamoja na S9 bei zake ni tofauti mno.
Mfano Xs Max iliyotoka mwaka jana bei yake unanunua Galaxy S10 plus ya mwaka huu na chenji inabaki.
Mfano mimi nilinunua Galaxy S10 plus kwa 2.1M but leo hadi 1.2 M unapata ilhali Xs Max mpya hupati chini ya 2.3M
Sent using Jamii Forums mobile app
Huawei ni second large industry mzee iphone no3 ebu usiongee bwana
na Nokia jamani mbona hamsemiUnakuta toleo la mwaka huohuo lakini bei imeshuka sana tofauti na iphone
Nokia alishapotezaga soko japo simu zipo
MWANAUME MPAKA SASA NI HUAWEI, HIZO NYENGINE MNAPIGWA FEKI MPAKA MTAJUTA
Sent using Jamii Forums mobile app
Feki Apple? No!
Iphone nyingi sasa zinafail fingerprint, wamezichakachua nyingi sana now
Sent using Jamii Forums mobile app
Huawei ni second large industry mzee iphone no3 ebu usiongee bwana
.halafuu simu hazina technology mpya ss hv labda camera tu
Hapa nina huawei yangu p20 pr0 simu kali sanaMWANAUME MPAKA SASA NI HUAWEI, HIZO NYENGINE MNAPIGWA FEKI MPAKA MTAJUTA
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu ni tag mkuuHio samsung unayozungumzia ni mpya ama refurbished? Ungeweka na ushahidi ingekuwa vizuri.
Na hiyo i phone X haifikii ubora wa camera ya huawei yangu p20 Pro.Huawei ni second large industry mzee iphone no3 ebu usiongee bwana
.halafuu simu hazina technology mpya ss hv labda camera tu
Hongera Mkuu...Ni kweli mkuu... mfano iPhone Xs Max ambayo ilitoka pamoja na S9 bei zake ni tofauti mno.
Mfano Xs Max iliyotoka mwaka jana bei yake unanunua Galaxy S10 plus ya mwaka huu na chenji inabaki.
Mfano mimi nilinunua Galaxy S10 plus kwa 2.1M but leo hadi 1.2 M unapata ilhali Xs Max mpya hupati chini ya 2.3M
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama mm hio imenitokea hahahah, Jamaa aliweka iPhone yake mfukoni akaniambia tutumie ya kwako [emoji23][emoji23]Na hiyo i phone X haifikii ubora wa camera ya huawei yangu p20 Pro.
Juzi kuna bwana alikuwa anatupiga picha kwa iphone X yake si nikampa na huawei yangu anipigie pia kilichotokea ni kuwa aliweka iphone yake mfukoni akasema dah ngoja niepushe aibu kwa hii yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app