Kwanini simu za Samsung zinashuka thamani haraka sana tofauti na iphone?

weka na mfano kabisa ni simu gani,maana inavyofahamika huwa zinapishana thamani toka zikiwa mpya kwa tofauti ya dolla 200 mpaka 400.kwahiyo gape hilo linadumu wakati wote.tafuta iphone 8 na s7 zinaendelea kudumisha gape.
 
Ni kweli mkuu... mfano iPhone Xs Max ambayo ilitoka pamoja na S9 bei zake ni tofauti mno.

Mfano Xs Max iliyotoka mwaka jana bei yake unanunua Galaxy S10 plus ya mwaka huu na chenji inabaki.

Mfano mimi nilinunua Galaxy S10 plus kwa 2.1M but leo hadi 1.2 M unapata ilhali Xs Max mpya hupati chini ya 2.3M

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung wanatoa simu nyingi sana sokoni na wanamatoleo mengi sana hawapishanishi
Kushuka muhimu watu wanapenda kwenda na soko

Kwanza huwez fananisha vivo na huawei kuanzia bei mpaka nn haya mambo tuyaache

Acha kufananisha unboxed za hawa majamaa wa insta kabisa wanauza ma copy na used wanatafutia box tu mjini hapa
 
Iphone nyingi sasa zinafail fingerprint, wamezichakachua nyingi sana now

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninachofahamu ni kwamba nyingi ni second hand, zilishatumika zikachoka zikavalishwa nguo mpya ndo hizo zinauzwa kama maandazi sokoni. Nunua Iphone kwa authorised dealer utatumia mpaka uitupe mwenyewe. Yangu hapa nimeshaichoka ni vile tu sina hela ya kuupgrade. Ukiiona kama nimeinunua jana perfomance, battery na kila kitu.
 
Hizi data mnazo google wakati hamjui kingereza vizuri zinawapoteza....
Huawei ni second large industry mzee iphone no3 ebu usiongee bwana

.halafuu simu hazina technology mpya ss hv labda camera tu

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Huawei ni second large industry mzee iphone no3 ebu usiongee bwana

.halafuu simu hazina technology mpya ss hv labda camera tu
Na hiyo i phone X haifikii ubora wa camera ya huawei yangu p20 Pro.

Juzi kuna bwana alikuwa anatupiga picha kwa iphone X yake si nikampa na huawei yangu anipigie pia kilichotokea ni kuwa aliweka iphone yake mfukoni akasema dah ngoja niepushe aibu kwa hii yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu... mfano iPhone Xs Max ambayo ilitoka pamoja na S9 bei zake ni tofauti mno.

Mfano Xs Max iliyotoka mwaka jana bei yake unanunua Galaxy S10 plus ya mwaka huu na chenji inabaki.

Mfano mimi nilinunua Galaxy S10 plus kwa 2.1M but leo hadi 1.2 M unapata ilhali Xs Max mpya hupati chini ya 2.3M

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Mkuu...
 
Na hiyo i phone X haifikii ubora wa camera ya huawei yangu p20 Pro.

Juzi kuna bwana alikuwa anatupiga picha kwa iphone X yake si nikampa na huawei yangu anipigie pia kilichotokea ni kuwa aliweka iphone yake mfukoni akasema dah ngoja niepushe aibu kwa hii yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama mm hio imenitokea hahahah, Jamaa aliweka iPhone yake mfukoni akaniambia tutumie ya kwako [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom