Hiyo ya subscription na mimi ndiyo concern yangu kubwa.
Kwanza watu wengi Tanzania hawana access na internet. Pili, who has money to waste like that?
pacha ur missed here!upoMwenzio atakuja tu..
Usiwe na papara ya kukimbilia..
BTW 25yrs mbona bado mdogo..
Ndo maana mi nikataka the Golden touch by some known names.
Max tayari ana traafic na kui divert kwenye "jamiidate.com" kwa mfano, itakuwa kitu rahisi sana.
Hiyo Marafiki naweza kuwa nzuri lakini ikpo katika "deep web" huko, deeper than the Mariana Trench watu hawaioni.
Kuna site za bure tu watu hawaaingii
mfano site za properties....
Kuna kitu kingine pia nafikiria.
How genuine are these people and how do we know for sure that they are not just trying to pull people's legs? Perhaps a subscription service can answer that question...
pacha ur missed here!upo