Sorry for asking tena Dumelambegu, last episode ya kuharisha ilikuwa lini? Yalikuwa majimaji au choo laini? Umeshawahi fanyiwa stool culture? Na umri wako(if you dont mind)? na afya yako ikoje,any signs za kupungua-? Unajua mtu anayetumia dawa za minyoo kama kweli ipo ikifa inatolewa kwa njia ya haja. Kama unatumia choo cha maji(indian type) utaiona tu unless uwe unalenga kwenye kashimo. Na mtu anayekuwa na minyoo kwa muda mrefu kunakuwa na competition ya nutrient ko unajikuta unakula lakini unapungua ndo maana kwa watoto ambao ni vulnerable unaona kabisa kwamba afya yake ni mgogoro. I can suggest colonoscopy kujua what is exactly going on in your colon(utumbo mpana). Happy new year!!
Mkuu Nyalotsi, ukweli ni kwamba sijawahi kukaa na daktari mmoja kwa muda mrefu na hii inatokana na nature ya kazi yangu. Otherwide, nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja kwamba kutokuwa na daktari mmoja kumechangia kwa kiasi kikubwa kushamiri kwa tatizo langu la tumbo.Nimekupata dumelambegu, hicho kipimo ni kama camera ambayo inapitishwa kupitia njia ya haja kubwa ili kujua matatizo yaliyopo kwenye utumbo mkubwa. Huwa wanafanyiwa watu wenye matatizo tofauti ya utumbo mkubwa. Pia naomba nikuulize swali jingine, ulishawahi kaa na daktari mmoja kwenye matibabu yako? Kosa la mfumo wa afya wa nchi yetu unasababisha watu wawe wanaona na madaktari tofauti katika hospitali tofauti kila siku. Hii husababisha watu kutofuatiliwa vizuri kwenye maendeleo yao. Mf dr aliyeanza na wewe toka mwanzo angekuwa na mwendelezo mzuri wa vipimo pamoja na matibu kuliko ile ya leo uko na huyu kesho mwingine. Unajua consistency ya maelezo inakuwa tofauti kila siku. Na kila unayekutana naye anaanza upya kukuuliza. Ndo maana kwa wenzetu mtu anakuwa na dr wa familia ambaye anakuwa responsible kwa maendeleo ya afya yako kwani you pay him. Ushauri wangu, tafuta daktari(md au specialist wa infectious) ambaye utamuelezea vizuri tatizo lako kuanzia mwanzo mpaka mwisho aafu mjadiliane pa kuanzia. Usimfundishe kufanya kazi ila uwe kama unajadiliana naye kila hatua. (Kuna wagonjwa wanakujaga na kukuambia nahisi nna malaria niandikie dawa, inakera sana hii). Ukimpata ambaye utakuwa unamuona as a private patient ni nzuri zaidi ila ni costful kwani you have to pay for him kwani yeyed ndo ataangalia maendeleo yako kila unavyokwenda hospital.
Kuhusu namna ya kupunguza gesi tumia maziwa fresh ya moto changanya na asali halisi vijiko viwili asubuhi na jioni.
Mkuu Dalbega, dawa hii mbadala sijawahi kuitumia. Nitajaribu kuitumia. Labda niulize, chai inatakiwa iwe nyingi kiasi gani? Nadhani dawa hii naweza kuitumia hata kama nitakuwa kwenye uchunguzi wa kina wa tumbo langu, kama alivyoshauri Nyalotsi hapo juu.Ndugu pole sana kwa hilo tatizo. Mbegu za papai ni dawa nzuri sana ya amoeba. Zianike zikauke vizuri then zisage uchanganye kwenye chai kijiko kimoja cha chakula asubuhi na jioni kwa kama siku 3 hivi. Amoeba pamoja na malaria na minyoo yote itatoka. Ila uwe na limau karibu manake zina kichefuchefu. Pole sana ndugu. Ukifanikiwa tupe taarifa
The vitamin B-complex refers to all of the known essential water-soluble vitamins except for vitamin C. These include thiamine (vitamin B1), riboflavin (vitamin B2), niacin(vitamin B3), pantothenic acid (vitamin B5), pyridoxine (vitamin B6), biotin, folic acidand the cobalamins (vitamin B12).
"Vitamin B" was once thought to be a single nutrient that existed in extracts of rice, liver, or yeast. Researchers later discovered these extracts contained several vitamins, which were given distinguishing numbers. Unfortunately, this has led to an erroneous belief among non-scientists that these vitamins have a special relationship to each other. Further adding to confusion has been the "unofficial" designation of other substances as members of the B-complex, such as choline, inositol, and para-aminobenzoic acid (PABA), even though they are not essential vitamins.
Each member of the B-complex has a unique structure and performs unique functions in the human body. Vitamins B1, B2, B3, and biotin participate in different aspects of energy production, vitamin B6 is essential for amino acid metabolism, and vitamin B12 and folic acid facilitate steps required for cell division. Each of these vitamins has many additional functions. However, contrary to popular belief, no functions require all B-complex vitamins simultaneously.
Human requirements for members of the B-complex vary considerably from 3 mcg per day for vitamin B12 to 18 mg per day for vitamin B3 in adult males, for example. Therefore, taking equal amounts of each one as provided in many B-complex supplements makes little sense. Furthermore, there is little evidence supporting the use of megadoses of B-complex vitamins to combat everyday stress, boost energy, or control food cravings, unless a person has a deficiency of one or more of them. Again, contrary to popular belief, there is no evidence indicating people should take all B vitamins to avoid an imbalance when one or more individual B vitamin is taken for a specific health condition.
Most multi vitamin products contain the B-complex along with the rest of the essential vitamins and minerals. Since they are more complete than B-complex vitamins alone, multiple vitamin-mineral supplements are recommended to improve overall micronutrient intake and prevent deficiencies.
Vitamin B Complex has been used in connection with the following health conditions:
[TABLE="class: hni_RelTable, width: 940"]
[TR]
[TH="class: hni_RelTableHeader hni_RelConceptNameColumn, align: center"]Used for[/TH]
[TH="class: hni_RelTableHeader hni_RelShadedColumn, align: center"]Amount[/TH]
[TH="class: hni_RelTableHeader hni_RelLastColumnText, align: center"]Why[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Wound Healing[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Follow label directions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]Thiamine (vitamin B1), pantothenic acid (vitamin B5), and other B vitamins have all been shown to play a role in wound healing. For this reason, some healthcare practitioners recommend a high-potency B vitamin supplement to promote wound healing.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Canker Sores[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]300 mg B1 daily, 20 mg B2 daily, 150 mg B6 daily[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]People with recurrent canker sores may have a B vitamin deficiency. Supplementing with vitamins B1, B2, and B6 has been reported to provide relief.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Acne Rosacea[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]The relationship between B vitamins and rosacea is unclear, one study found it caused rocacea-like symptoms, other preliminary reports have found benefits.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Alcohol Withdrawal[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]Research suggests it is possible that successful treatment of B-complex vitamin deficiencies may actually reduce alcohol cravings, because animals crave alcohol when fed a B-complex-deficient diet.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Anxiety[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]Double-blind research suggests that supplementing with vitamin B-complex multivitamin may reduce feelings of anxiety, perceived stress, and tiredness.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Athletic Performance[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]B-complex vitamins are needed to produce energy from carbohydrates. Exercisers may have slightly increased requirements for some of the B vitamins, including vitamins B2, B6, and B5, athletic performance can suffer if these slightly increased needs are not met.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Attention Deficit Hyperactivity Disorder[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]B vitamins have been used for ADHD. High amounts of B vitamins have shown mixed results in relieving ADHD symptoms.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Hives[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]In one study, treatment with a hydrochloric acid supplement and a vitamin B-complex supplement helped to treat people with hives.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Indigestion, Heartburn, and Low Stomach Acidity, and Vitamin B12 Deficiency[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]For people who have inadequate absorption of vitamin B12 due to low stomach acid, supplementing with vitamin B complex can help correct a deficiency.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Osteoporosis[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]In one trial postmenopausal women who combined hormone replacement therapy with B vitamins and other nutrients and dietary changes increased their bone density by a remarkable 11%.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Premenstrual Syndrome[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]Research has linked B vitamin deficiencies to PMS, so some women may benefit from supplementing with B-complex vitamins for symptom relief.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Tardive Dyskinesia[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]In some studies, taking vitamin B-complex along with other nutrients appeared to prevent the development of tardive dyskinesia.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: hni_RelConceptNameColumn"]Vitiligo[/TD]
[TD="class: hni_RelShadedColumn, bgcolor: #E8E8E8"]Refer to label instructions[/TD]
[TD="class: hni_RelLastColumnText"]PABA, a compound commonly found in B-complex vitamins, has been shown to repigment skin affected by vitiligo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
References
Asante sana ndugu yangu Nyalotsi na Mungu akubariki sana kwa mchango wako. Believe me, maelezo yako ya-create a new erra ya maisha yangu kiafya. Nitajitahidi nimpate daktari siyo kwa ajili yangu bali kwa ajili ya familia nzima. Kwangu mimi, sijali sana gharama ilimradi kugharamika huko kutaniletea afya njema kwangu, kwa mke na watoto wangu pia.Mkuu dumelambegu, daktari wa jumuia ni tofauti na personal/family doctor. Unatakiwa umpate daktari ambaye utaongea naye na atakuwa anakufanyia follow up yeye, na kama hayupo basi atakueleza umuone nani ambaye atakuwa amemuachia your history. You have to pay for his time ili akutengee muda akiwa free. Hii ya kwenda na kumkuta daktari consultation room, wagonjwa wengi na malipo asubiri mwisho wa mwezi mshahara wa serikali/mwajiri inatucost tulio wagonjwa. Kwa mtu mwenye nafasi inatakiwa kuopt for loss lakini upate the best.
Ndugu yangu Nyalotsi usijali kabisa kwa kuniuliza maswali mengi hata kama yanajirudia. Kimsingi, nipo hapa kupata suluhisho la tatizo lililonisibu muda mrefu sana. Kila maelezo utakayohitaji kwangu utayapata kadri ninavyofahamu. Sasa ningependa kujibu maswali yako kama ifuatavyo:-
Muda mrefu umepita tangu nilipoharisha kwa maana halisi ya kuharisha. Mara kwa mara nimekuwa nikipata choo cha kawaida yaani siyo kigumu wala laini sana. Ni mara chache sana napata choo kigumu kiasi cha kuumia.
Kuna wakati nilifanyiwa culture na walibaini typhoid na aina ya dawa ambayo ingefaa. Nilipata tiba na ilinisaidia. Baada ya wiki kama moja hivi niliendelea kujisikia vibaya. Nilipopima niliambiwa nina amoeba.
Umri wangu ni miaka 45.
Afya yangu kwa ujumla kimwonekano ni nzuri. Kwa kuniona, ni vigumu kubaini kama ndiye mwenye hayo matatizo. Nina haiba nzuri tu labda ni kwa sababu nakula chakula kama kawaida ingawa nateseka na maumivu ya tumbo. Kumbuka pia, nimepima mara kadhaa vidonda vya tumbo na kuambiwa sina kabisa.
Kuhusu kuona minyoo, kwa kweli sijawahi kuona. Choo ninachotumia siyo cha shimo. Hivyo, nimekuwa nikikiona choo mara kwa mara na mara zote sijawahi kuona minyoo.
Kuhusu colonoscopy ningependa kujua undani wa kipimo hicho na ni wapi kinapoweza kufanyika nifanye.
Otherwise, nikushukuru kwa kutenga muda wako wa kufuatilia tatizo langu.
Mkuu Munyangaa, nashukuru kwa ushauri wako ingawa naona kama una mwelekeo wa kutatua matokeo ya tatizo la msingi. Nadhani ni vizuri nijielekeze katika kutatua kiini cha tatizo yaani kisababishi cha gas nyingi tumboni. Bila shaka, ushauri ninaopewa wadau wengine unaweza kupelekea kupata ufumbuzi wa tatizo langu la msingi. Hata hivyo, ili gas isiniumize kwa sababu tayari ipo, nitatekeleza ushauri wako.