Kwanini sishiki mimba?

Gongwa mfululizo, acha siku za hedhi tu..!!
 
Kam
Nenda hospitali muone daktari mtaalam wa uzazi, kuna vipimo utafanyiwa wewe na unaetaka akutie mimba.
Wanaume Wengi siku hizi mdebwedo.
 
Wadada wa kazi. Akiguswa tu anayo.
 
Mwambie Mzee apige sana korosho,karanga,tende,maji kwa wingi halafu akae siku 7 bila kudo ndio aje kufanya mambo siku ya hatari iwe kuanzia siku ya 11......Mkishafanya yenu siyo fasta tu umeenda kunawa tulia kwanza hata dakika 20.
 
Kam

Nenda hospitali muone daktari mtaalam wa uzazi, kuna vipimo utafanyiwa wewe na unaetaka akutie mimba.
Wanaume Wengi siku hizi mdebwedo.
Si keshazaa nae mtoto wa 1? Hapo ni suala la timing tu nadhani.
 
Kushika mimba sio jambo rahisi kama watu wanavyolichulia! Ukiona imeingia, mshukuru Mungu na ingia hatua nyingine ya kuilinda isichoropoke! Nakushauri nenda hospital ukaonane na madakitari bingwa wa akina mama!
mmmmmhhh sasa mbona wanafunzi ni chap tu kwa haraka hata kama ni dakika2......mm namshauri cold water avae sketi ya shule mara kwa mara ajiweke kidenti...na ikiwezekana ahudhurie tuition kama mwanafunz ili akija jamaa akiweka tu imo maana kwa wanafunz mimba huwa haikatai hata sk1🙄🙄
 
Si keshazaa nae mtoto wa 1? Hapo ni suala la timing tu nadhani.
Si keshazaa nae mtoto wa 1? Hapo ni suala la timing tu nadhani.
Hakuna cha timing wala nini.

Waende gospitali tu. Usikute anaogoI a hospitali pengine hata huyo mmoja siyo wa mwanamme anaetaka kuzaa nae sasa, alimbambikia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…