Kwanini sisi wanaume tukifumania ndio mwisho

Kwanini sisi wanaume tukifumania ndio mwisho

Familia inahitaji stara ya mama sio ya baba.

Mwanaume hafumaniwi ila anabambwa tu.

Mwanamke akichepuka huwa sio kwa bahati mbaya huwa anakuwa kajiandaa.

Mwanamke akishatiwa nje huwa anakuwa na kiburi (hawawezi kubalance)

Mwanamke akipata mtu bora zaidi yako anakuacha wewe uliyenae.
 
Kuna kale ka mfano ka FUNGUO na KITASA

Kwamba funguo ikifungua Milango mingi (Vitasa vingi) hiyo funguo itatunzwa na kupendwa.

Ila Kitasa kikifunguliwa na kila FUNGUO hiyo ni shida na kinatakiwa kitolewe.
 
Kusamehe mara nyingi hutegemeana na binadamu mwenyewe. Wapo wanaume wengi mfano wewe, na mimi ambao wakiwafumania wenzi wao, kamwe hawawezi kuwasamehe. Na wapo wanaume wachache wanaoweza kusamehe hata baada ya kulishuhudia hilo tukio.

Ukija kwa wanawake nao ni hivyo hivyo. Wapo wengi wanaoweza kusamehe. Na wapo wachache wasioweza kusamehe.
 
Unataka kubisha nn.

Refer vitabu vya dini (bible enzi hizo) au historia ya ma babu zetu mbona ipo wazi walikuwa na wake wengi kwenye ndoa za kimila na wote walipatiwa huduma vizuri kwa ratiba.

Hamna promo hapo mwanaume anaweza kupenda hata wanawake 16 kwa mpigo na akawahudumia wote equally kwa upendo.

Nyie wanawake hamuwezi hilo na ukiona mwanamke ana wanaume wengi huyo ni malaya tu anawapanga ili awachune na hana mapenzi ya kweli.
Vizuri
 
Wanaume heshima tunayopewa na wanawake wetu ndo tunatafsiri kama upendo, yani mwanamke fanya unavofanya ila kama uniheshim sikuhitaji

Sasa Kuna dharau gani kuzidi ya kulalwa na mwanaume mwingine?

Wanawake deep down wanajua mwanaume kulala na yeye peke ake ni uwongo na low key wanavutiwa na mwanaume machachali ambaye anaongelewa vizuri na kupendwa na wanawake wengine especially wakali kumzidi ndo maana ukikufumania na pisi kali kumzidi anaishia kulia tu ila akiwa mbaya anakuchamba
 
Siyo nature ila ni tamaa tu ya mwanaume mmojammoja bro.....hiyo nature mnajipa tu promo

1. Mwanamme anaweza tia mimba na kuzaa watoto zaidi ya 100 kwa mwaka mmoja. Je wewe unaweza zaa zaidi ya mara 1 kwa mwaka?

2. Bao moja lina mbegu zaini ya millioni 1. wewe unapata yai moja kwa kila mwezi na yai moja likirutubishwa hupati tena lingine mpaka uzae.

Nyie feminist tukiwaambia sisi by nature ni wa wengi muwe mnaelewa.
 
1. Mwanamme anaweza tia mimba na kuzaa watoto zaidi ya 100 kwa mwaka mmoja. Je wewe unaweza zaa zaidi ya mara 1 kwa mwaka?

2. Bao moja lina mbegu zaini ya millioni 1. wewe unapata yai moja kwa kila mwezi na yai moja likirutubishwa hupati tena lingine mpaka uzae.

Nyie feminist tukiwaambia sisi by nature ni wa wengi muwe mnaelewa.
Sawa
 
1: Mwanaume afumaniwi , mwanaume anakutwa katika majukumu yake ya msingi .

2: Mwanamke kuchepuka ni kukutukana wewe pamoja na mama yako mzazi.

3:Mwanamke akichepuka ni kakusudia

4: Mwanamke akichepuka kakudharau na kakuona wewe ni wakike mwezake kama alivyo yeye

5: Mwanamke akichepuka hasamehewi kumsamehe mwanamke aliyechepuka hakuna tofauti nakuishi na mke wa mtu ndani
 
Vp ukigundua kitasa chako funguo yeyote inafungua?
 
Back
Top Bottom