Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?


Kwa hiyo ndio maana hawaolewi...
 
Mbao za mininga hazipo siku hizi na ni gharama mno kwa vijana ..kila siku kupeleka chaga kwa fundi selemara..

Pia wengine hupenda kushona magauni ya vitenge kama waxy hapo atahitaji pair za kutosha kushona gauni moja
 
Wengi wenu mnapiga menyu balaa, na kosa lenu siku ya kwanza ya kudate mnapiga menyu ya kufa mtu (Kuku mzima, chips full, bia/soda mpaka kiwanda kinafurahi. Baaye kidogo mishikaki au mguu wa mbuzi/jembe mpaka mwanaume anatishika bhana.

umejuaje?
 
Avatar yako tu inanifanya nikuelewe wewe ni mtu wa namna gani, kuhusu akili zako, unawaza nini, matendo yako n.k. Pole sana! No more coments!
 
Mimi mbona nawatafuta sana,inbox me na wewe uwe mke kuanzia leo uachane na mambo ya vimada
 
Ila wanawake wanene hawavutii wanaume wengi. Binafsi SIWAPENDI,

Wewe kimaus na baadhi yenu, mnajitahidi sana kutuponda, ila jueni sie bado tutaendelea kuwa juu kila uchao na uchwao.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wanene hamna soko! Polen hata mie binafic siwapendi wanawake wanene kwanza kitandan ni wavivu hamjui kuji2ma
 
Nyie ni wazuri kugegeda au kuwa nyumba ndogo tu, maana wengi wenu ni wasumbufu na hamjiamini pia mna kaharufu kaajabu!
 
sio kweli kwamba kila mwanamke mwenye mwili anakuwa balaa ya kuolewa kuolewa wakati mwingine ni namna mtu anavyojiweka na kujiandaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…