Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
Portability matter!!
nyinyi bana kukatika hua ni mtihani kidogo, na kuna style nyingi tu ham -fiti.

Wengine hua shughuli kidogo tu, basi mko hoi, na pengine hata majasho nini!!
 
Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k

Hahahahahah! Kaka namkumbuka nyakato junior na uzi wake wa kukulilia, si ungemwambia tu kuwa hizi ndo sababu?
 
Last edited by a moderator:
Dadake Asuttu
Nafikiri kuna majibu meeeengi ambayo umejibiwa hapo ila wamesahau moja,mwanamke mwenye na mwenye makalio makubwa wana viburi sana,sababu wanajua wakipita wanatazamwa sana na wanaume hivyo hata ukimuoa ukiwa nae ndani anajua ana ------ makubwa atapata wanaume wengine ana dharau sana,wako aina mbili mwenye makalio makubwa na mwanamke mweupe ni taabu tupu sana ndoa zao huwa hazidumu
Unaweza kumuoa akiwa mwembamba akaja akanenepea kwako na kupata makalio makubwa ataanza kukusumbua tu sababu anajua ana mtaji,mfukuze hayo ------ yaishe utamuhurumia atakavyobembeleza kurudi

Weengi akili zao ni kuangalia makalio yao tu
Uchambuzi wako uko sahihi kabisa! Akili zao zime-base kwenye makalio yao.
 
wenzako ni akina nani vile humu JF?vi-k vyenu huwa mbali sanaaaa na kusabisha mbuzi kagoma pekee kuwa applied,hii inakifu
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.

mi naona kuolewa na kutoolewa wala hakuhusiani na unene wala wembamba wa mtu ni jitihada binafsi tu ndio zinazohitajika!
 
Ni kweli wanawake wanene wana harufu kali,nafikiri fangus wanawashambulia kwa urahisi kutokana na mikunjo mingi ambayo hujaa jasho mara kwa mara.
Pia shepu zao ni wakiwa wamejifunika kwa nguo,pindi wawapo uchi hawana mvuto kabisa,minyama inakuwa imelegea sana.
 
mi naona kuolewa na kutoolewa wala hakuhusiani na unene wala wembamba wa mtu ni jitihada binafsi tu ndio zinazohitajika!

Ila wanawake wanene hawavutii wanaume wengi. Binafsi SIWAPENDI,
 
Ni kweli wanawake wanene wana harufu kali,nafikiri fangus wanawashambulia kwa urahisi kutokana na mikunjo mingi ambayo hujaa jasho mara kwa mara.
Pia shepu zao ni wakiwa wamejifunika kwa nguo,pindi wawapo uchi hawana mvuto kabisa,minyama inakuwa imelegea sana.
Ni kweli, wakiwa hawana nguo hayo manyama hayatamaniki. Hilo tumbo mh
 
mimi nachojua hawa wanawake wenye buster kubwa ni kivutio saana cha wanaume wengi maana kila kidume anataka aonje ili ajue ladha ya hiyo turbo v8 ukitaka kujua hili wee angalia mahali wapo group ya wanaume alafu apite demu aliyejazia huko nyuma utaona woote wanageuka kumwangalia hata kama kuna wababu hapo lazima nao wageuke kuangalia huo mzigo uliobwebwa. hii hali inawafanya waoaji wengi kufeel insecure kuwa na mwanamke wa dizain hiyo maana wanahisi wanaume wengine wanammendea.

Naunga mkono hoja
 
Uliyoyasema ni kweli cha msingi jitahd mpunguze unene,ila wengi wanashndwa kutokana na kushndwa kuacha vyakula walivyoagizwa hasa bia,
 
Back
Top Bottom