King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Agnes masogange ulimuhoji ktk huo utafiti wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa watu akivua nguo ni wabaya sana! yaani unakuwa huna hamu naye tena baada ya kile cha haraka haraka. ni wazuri kwa kuwapiga chap, chap na kutawanyika. kulala naye kila siku, no.Miili minene inavutia tu kuangalia akiwa kavaa nguo.akivua inabore sana.
Kwani vicheche vinakuwa detedi au vinanunuliwa tu...
Mkuu unawaonea bure, unadhani kama huyu atafikiaje uvungu:tatizo uvungu huwa unatema sana yaani hata kula kabaang tabu tupu na kuachia ushuzi mara kwa mara inabore nashauri wawe wanasafisha mvungu mara kwa mara
Mkuu unawaonea bure, unadhani kama huyu atafikiaje uvungu:
Harufu mbaya na unene vina uhusiano.... inahitaji care ya hali ya juu ku- mantain usafi kwa mnene. Anahitaji kuoga mara nyingi na kujikwatua ili asifikwe na adha ya harufu. Just fanya a simple research. mchukue mnene na mwembamba wafanye kazi nzito na kuachwa siku mbili bila kuoga..... uta-conclude ukweli uko wapi.
napenda wadada wenye makalio makubwa, wanene, wenye maumbo makubwa. wembamba siwataki kabisaaa
Ndo mana waki-comment nawauliza maswali wanakimbia.
Wavute picha miaka 10 nyuma kabla wake zao hawajazaa, walikuwa na maumbo gani?
Tatizo wanaume wengi wanafata mkumbo, akianza mmoja kwenda against na mada, basi woote watakaofuatia watamsapoti wa awali, hata kama Ukweli anaujua.
Na nina uhakika wanaume waliokuja kusema kuwa hawawapendi wanawake wanene, ukienda majumbani mwao, ndio haohao wamewaweka ndani.
Ila hapa jukwaani hufuata mkumbo.
wewe mgonjwa wewe sio mzima..