Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Wanawake wanene ni wavivu,kupata kwao mimba ni ngumu,magonjwa mengi kwao,sehemu zao za siri sio safi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia kipimo gani?
Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k
Kumbe huku kumenoga.
Wanawake wanene ni wavivu,kupata kwao mimba ni ngumu,magonjwa mengi kwao,sehemu zao za siri sio safi.
hii kwel 100% ya harufu mbaya
hahahaaaa...!!!. miaOngezea na chama
Ili mtu umsaidie inabidi umwambie ukweli ili ajirekebishe. Mi mtu anapo niomba ushauri namwambia ukweli japo najua ukweli unauma. miahahahaaa... Nimecheka mpaka basi....! Haki yanani kwa style hii lazima watabanana kufanya diet
me like zis.,🙂
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
acha kudate na vicheche hawana muda wa kutulia ili waoshe hivyo vitu vyao kwa umakini.