cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)miili yetu imepitwa na wakati,
(b)labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)tuanze kuwatongoza wanaume.
Nalileta mezani tulijadili.
tatizo mkipewa inye kubwa mnajihisi watu wazima wakati akili bado za kitoto ndo maana mibaba inawagegedua..na vijana twaishia kusema wakubwa wanafaidi#fact