Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
kimsingi unene nimesema ni hali iliyozidi kiwango cha upana wa kawaida ukilinganisha na urefu.
WANENE:wafupi wanajulikana kama VIFUTU.
WANENE:wenye urefu wa kawaida MABONGE
WANENE:warefu wapo,MABONGE:
japo nahisi mleta hoja aliwalenga zaidi wenye urefu wa kawaida na wale warefu.
KWA NINI HATUPENDI WANENE.
1.unene ama ubonge ni kasoro ambayo binadamu asingestahili kuwa nayo sawa na kasoro zingine za kimaumbile
2.unene unawapa shida walio wanene,mfano ni wepesi kutokwa jasho jingi(ki biolojia zaidi),wazembe,wanahema kwa shida hata kwa kufanya kazi ndogo tu,kutembea kwao ni tabu sana,presha ni ugonjwa wa kawaida kwao mfano kuna utafiti umefanyika marekani na kugundua UNENE unaotokana na kula sana unaua kwa wingi kuliko utapiamlo(hali ya kutokula kwa kukosa chakula),WATU WALIOKUFA MAREKANI KWA SABABU YA UNENE WALIKUWA NI WENGI KULIKO WALIKUFA SOMALIA KWA NJAA.
3.kwa mtazamo wangu kimumekano wanene hawapendezi hata wakifanya nini
4.mnene na mwembamba wapi na wapi?hata ukitembea nae hamleti uwiano sawa.