Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

hahahah Fidel80 bana......kumbe umegundua ushindani mkali eeh

Kwa ushindani huu sisi tunao tumia mizigo hii probability ya kuikosa ni mkubwa sana ndo maana wanakumbana na wanao wachezea sie wenye nia dhabiti wanatutosa.
 
Wanawake wanene ni matamanio tu kwa mwanaume ila kitandani hamna kitu kabisa
 
Hahahah mkuu ushawahi kuhudhuria kwenye mikusanyiko ya Pwani "Taarabu"?...sasa ile miTurbo ndio ninayoiongelea hapa...

hahahaha kule raha mpwa yaani kutana na turbo kama hii mpwa watu8

Mambo yenyewe mnaona jamani? Nyama lainiiiiiiiiiiiiii sasa hili ulikute kwenye Jahazi Modern Taarabu mbona Chuda unasahau hiyo milindimo.
 
Last edited by a moderator:
Wanene ni mzigo. Wengi (si wote) ni wavivu katika shughuli za kawaida. Pia inabidi apate mtu mwanamichezo mwenye nguvu manake kumbeba ni shughuli pevu. Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya wanaume kukwepa wanwake wanene.
 
unene si kipimo cha kilo kuwa kuanzia kilo X tunasema huyu ni mnene.
kilo ni kipimo cha uzito.
JAPO UPO UHUSIANO KATI YA UNENE NA UZITO.
unene ni ukubwa wa umbile linalozidi uhalisia wa urefu wa mtu.
KWA MFANO:
kama ni meza: ya urefu wa 2X2,4X4,10X10 tunasema ina umbo la mraba bila kujali uzito wake ama udogo wake.
mfano:wapo watoto wana kilo 10,20,30,25, nk ni wanene si kwa sababu ya kilo kama wengi wanavyofikiri unene ni kuwa na kilo nyingi.
UKIWA NA MEZA YENYE KIPIMO CHA 2X3 ,6X7,30X29 ,meza hizi zote ni mstatili lakini uliokaribia kabisa kuwa mraba na ukiangalia kwa haraka unaweza usibaini kama upande mmoja ni mrefu na mwingine ni mfupi.
SASA MAUMBO KAMA HAYA YA MSTATILI UNAOTAKA KUFANANA NA MRABA YANAWEZA KWA MTU KUTAFISRIWA KAMA UNENE BILA KUJALI KILO AMA UZITO.
ili kuangalia unene kuna uwiano kati ya UREFU na UPANA wa mwili.mfano up=60,ure=80 mnene
swalala la kilo ni pembeni.
mfano wapo wenye kilo mpaka 90,100 lakini si wanene kulingana na urefu wao,HAWA WANAITWA GIANT AMA BIG MEN OR BIG WOMEN.
 
ewaa sasa huyu ni MNENE KUPINDUKIA.....je dada yake na Asuta alikuwa anamaanisha hawa? sidhani....

Hebu wekamo na wa size yetu watu8



WOWOWO.JPG

Pengine hawa heavy duty alikuwa anawamaanisha
 
hampati wanaume kwa sababu nn mnatamaniwa tu ayo makalio .jaribu kuvaa baibui ilikuyafunika ayo makalio uone kama uta olewa
 
Najua hizi ndio nyanga zako kaka...hebu safisha macho ila kazi ya mkoloni iende...

booty.jpg


ewaa sasa huyu ni MNENE KUPINDUKIA.....je dada yake na Asuta alikuwa anamaanisha hawa? sidhani....

Hebu wekamo na wa size yetu watu8
 
Last edited by a moderator:
Najua hizi ndio nyanga zako kaka...hebu safisha macho ila kazi ya mkoloni iende...

booty.jpg


ewaaa...sasa hapo ndo tunasema wanene? sidhani.....hapo unatafuna hadi mifupa
 
hahahaha kule raha mpwa yaani kutana na turbo kama hii mpwa watu8
Mambo yenyewe mnaona jamani? Nyama lainiiiiiiiiiiiiii sasa hili ulikute kwenye Jahazi Modern Taarabu mbona Chuda unasahau hiyo milindimo.

Kaka hii bidhaa uliyoiweka nimeikubali khaaa...utadhani katumia hamira akiwa maliwatoni badala ya maji!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu kunuka kwa wanawake wanene hilo sio kweli. Kunuka ni uchafu na ni tabia ya mtu awe mnene au mwembamba. Ila hilo la kutoolewa ni kweli wanawake wanene kupita kawaida hawaolewi kama portables. Mwanamke alienenepa sana inaonyesha ni mzembe. Hajali mwili wake au wazazi wake hawakumjali alipokuwa mtoto. Walimlisha vyakula mno kadri alivyotaka (apetite nzuri). Huu nao ni uzembe!! There is a price to pay for any stupid decision. La pili, mwanamke mnene ukioa akishazaa watoto 2 basi tena anazeeka haraka kisa atakula sana wakati wa kunyonyesha na hivyo kuongezeka sana uzito. Hakuna kitu kibaya kama mwanamke anaekula kama kiwavi jeshi!! its disgusting!!. Tatu, unene kupita kiasi ni ugonjwa-mara kisukari, pressure, cholesterol juu etc. Nani anataka kununua ugonjwa? Ndio maana wanaishia kuwa nyumba ndogo ambayo watu wanagonga kwa siri bila kuwa attached directly to her. Na kwa vile wanawake wanene wanakuwa na low self esteem sababu ya miili yao ambaayo hata wao hawaipendi basi wanakuwa rahisi kuachia mzigo wakidhani watanunua love kumbe hamna kitu!!
 
halafu size za Fidel80 apo juu umeziona?yeye ni 4x4xFar 4WD

Mpwa wangu Fidel80 anatamani azame kwenye kompyuta azoze na hizo bidhaa hapo...leo ipo shughuli huko kibaruani
 
Last edited by a moderator:
Maranyingi hamjui mapenzi, mnakuwa wazuritu kwa sura,umbo napia mnakuwa hamna tabia nzuri, wakati mwingine mnaringa, kujiskia pia mnapenda starehe alf hamna mvuto wa kimapenz, kitandani mnalala kama magogo.
 
Back
Top Bottom