Voli kitoki
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 365
- 92
Hujapata fundi mi almanusura nivunjike kiuno we acha tu, mpododo ulinilalia mweh!
Labda ulimpata alifundwa kitchen part, ukanda wetu kusini ukimpata mnene kitandan co participative hadi inaboa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujapata fundi mi almanusura nivunjike kiuno we acha tu, mpododo ulinilalia mweh!
Anzeni kutongoza wanaume ila mjiandae ku cope na majibu ambayo huwa yanatolewa unapotongoza...
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
mabonge nmapenda kula ovyo ovyo, mahindi,karanga,papai, twist, parachichi,....... mia
Hahahahah....mwanamke mwenzenu anahangaika na unene, sijui kashaolewa mara ngapi??
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
aaahahahahahaha...albanuni fil hayat duniya ndo nini mkuu?
Hebu tusemae jamb hapa kwamb wanaume sisi tunapotaka kuoa 2naangalia mamb meng xana kuliko mnavyojua nyie!
- suala la unene lipo kwa muoaj kama anapenda au la! lakin ciamin kwamb huwa hamuolewi kisa wowow
-wanaume wa sasa tnaanglia na kichwan zipo????
Yeah utakosa bahati ,anza leo mazoez,acha michemsho ohoongoja nijikondeshe mie
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Mbao za mininga hazipo siku hizi na ni gharama mno kwa vijana ..kila siku kupeleka chaga kwa fundi selemara..