Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Portability matter!!Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
nyinyi bana kukatika hua ni mtihani kidogo, na kuna style nyingi tu ham -fiti.
Wengine hua shughuli kidogo tu, basi mko hoi, na pengine hata majasho nini!!