Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

wala sio kuwa hamuolewi, ni kuwa wapo wanaume wanaopenda wanawake wanene na wapo wanaopenda wembamba..ila ukweli wanene saaanaa hiyo sio hali ya kawaida na vidume lazima tuwaogope maana najua nikikuoa soon utapata ugonjwa wa presha, na magonjwa mengineyo.
 
Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k

Zaidi ya hayo pia wengine wanahofia vipigo, usioe mwanamke ambaye hata mkizinguana ndani atakuwa ni tishio kubwa.
 

unene; 1)unaharibu figure. 2)ni picha ya ulafi. 3)ni kielelezo cha uvivu kwa kila jambo. 4)ni kipimo cha kutotumia ubongo wako vizuri.
 

Natafuta mwanamke bonge
 
Mimi iko penda sana ila kitu naita Nene ,nililalia juu yake oohh ipo sikia vizuri kabisa.
 
Wasichana wanene na makalio makubwa ni walingaji wanaojiona kuwa wameumbika wanazarau wanaume. Mwanamke mwenye kujiona kuwa atapata mwanaume wakati wowote haolewagi. Chungwa la maonyesho haliuzwagi mnapenda kukaa uchi kubinuabinua makalio kwa ujumla mwanaume anaogopa sana ku-share penzi. Wanawake aina hii asilimia 99 siyo waaminifu, hupenda kuwapelekesha wanaume kwa maumbo yao. Wanawake wenye ndoa ni watu wa kawaida sana siwazuri sana na wasio na maumbo ya ajabu. Ndiyo utamaduni wenu
 

2b ndio jibu sahihi. yapaswa sasa muanze kututongoza, ukianzia nami.
 

Embu niletee mzigo niuone kwanza ndio naweza kukupa majibu sahihi. Maana kuna majibu mengine yako mwilini mwako.
 
Binafsi kwanza hii ya 95% naikataa. Lakini kubwa kabisa kufanya mapenzi na mwanamke mnene ni usumbufu. Unakuwa kama unamgeuza tembo. Yaani kuufikia mzigo wenyewe tu ni sheeda. Wakati mwingine mnalazimika kutumia style moja ili kupata radha.
 
Yaani kuna kibonge mmoja hapa kitaa ni shida kubwa, tena kaolewa lkn akikuganda utadhani luba, hatujajua mapungufu yake n nin maana mwanadada kumtokea mwanaume laivu hata haipendezi
 

Vijana Wengi ni waoga wakiona mwanamke mzuri mwenye matako makubwaaaaa

ILA GIVE IT TO ME..............................
 
Maanyokoooo......nikikukamata kule JLW utan'tambua
 
Gar nzur ya kuyembelea town vits au tupasso.
Nihangaike R420 la kaz gan. Kugeuka tu. Balaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…