bro_A
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 1,371
- 1,060
wala sio kuwa hamuolewi, ni kuwa wapo wanaume wanaopenda wanawake wanene na wapo wanaopenda wembamba..ila ukweli wanene saaanaa hiyo sio hali ya kawaida na vidume lazima tuwaogope maana najua nikikuoa soon utapata ugonjwa wa presha, na magonjwa mengineyo.