Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Anzeni kutongoza wanaume ila mjiandae ku ifahamikajibu ambayo huwa yanatolewa unapotongoza...
Waambie wapunguze kujiamini kupita kiasi huko nako kunapelekea mwanaume ajione Mdogo .ifahamike hakuna mwanaume anafurahia kuwa chini ya mwanamke
 
We dadake Assutu haupo sawa, me mwenyewe napenda miss Bantu wallah.. Wanawake waliojazia jazia Neema za Allah...
 
Duu ni wazuri ila wengi wao ni wavivu na wachafu yaani nilikuwanatamani niwe na bonge nioe na nimiliki ila nilikaa nae almost 5month nilijuta aisee fanyeni diet alafu bana sijui akili zao zikoje bana wengi ni vilaza ila nasikia watoto wao huwa na akili inaniwia vigumu kuamini
 
Mmmhh Kwa hiyo wavutia tu?ila wengne ni wepes hao mnaosema wanene
 
mnajidhalilisha. hivi unafikiri mwanaume gani utampa 0713 halafu akuoe?. sio wote wanene ambao hawaolewi, wanao jielewa wameolewa. mabonge wengi wavivu. unakuta ananawa miguu, mikono na uso kisha anaondoka bila hata kuoga sana sana atajipulizia manukato. acheni kujirahisisha. mabonge nmapenda kula ovyo ovyo, mahindi,karanga,papai, twist, parachichi, soda nk tena barabarani huku akitembea. mtu bonge nyama zimebebana kiasi kwamba akioga inabidi awe anainua nyama za tumbo na kusugua vingenevyo atanuka. mia
Duuuh, ngoja nitaanza kumfuatilia wife nione
 
Mimi ni mpitaji katika JF ndugu zangu na umri wa kuoa bado hata nikichangia ntakuwa muongo
 
Usikate tamaa dada, wala usi diet kwa kuolewa. Kwa bahati mbaya au nzuri wanawake wengi wanaolewa wembamba baada ya miaka 15 ya ndoa kitambi huko wowowo kule !
 
  • Thanks
Reactions: me1
Hakuna kitu Kama hicho kila mtu anapenda kitu kinomfurahisha Moto wake wanene kuna watu wao na wembamba hivohivo
 
Hili ni tangazo la biashara tofauti na matangazo mengine hili halijalipiwa airtime...
Haya dada umesikika na wale wanaopenda wanawake wanene watakutafuta PM na utashangaa namna utavyopata wateja wengi...
Jamani,upo?
 
dada utaolewaje wakati unakivutio cha utalii?? mara nyingi makalio makubwa ni kivutio kikubwa hivo wanaume wengi hupenda kukiona kila wakati na siku zote hivo kuelewa kwa nn huolewi ukiona hivo tulia endeleza utalii wa Tanzania hasa wa ndani
 
Acheni masihara bana usicheze na mtoto aliyejaaliwa mzigo mkubwa nyuma.weee,ni shida ase.
 
Ndo mana waki-comment nawauliza maswali wanakimbia.

Wavute picha miaka 10 nyuma kabla wake zao hawajazaa, walikuwa na maumbo gani?
Tatizo wanaume wengi wanafata mkumbo, akianza mmoja kwenda against na mada, basi woote watakaofuatia watamsapoti wa awali, hata kama Ukweli anaujua.

Na nina uhakika wanaume waliokuja kusema kuwa hawawapendi wanawake wanene, ukienda majumbani mwao, ndio haohao wamewaweka ndani.
Ila hapa jukwaani hufuata mkumbo.
Sorry Lakin ukichua mwanamke mwembamba thn akija kuzaa ataongezeka kiasi Lakin ukichukua tukunyema kabla hajazaa ndugu yangu akija kuzaa si atakuwa balaa..kuhusu usafi no point hapo, usafi tabia
 
Sasa we mwili mkubwa, kalio kubwa na mara nyingi wa hivi, na nyonyo nayo huwa kubwa, hivi ukinikumbatia mimi kimbaumbau si utaonekana umelala peke yako? Halafu huo mkumbatio unaweza ukanikosesha pumzi na mwisho nikafa.... Sasa kujiepusha na kifo nawakwepa
ukifunikwa na mtindi lazima afe hamna namna
 
mwanamke mnene asilimia kubwa anatamanisha sana wanaume, pili wanawake wanene huwa mnajiona ni wazuri sana kuliko wenzenu wenye maumbile ya kawaida hivyo inawapelekea kuringa jambo ambalo mwanaume hapendi sana, mwanamke mnene mnakuwa wavivu ktk mambo kadhaa moja mapenzi mnakuwa wazito, pili mnakuwa jeuri kwa kujiaminisha na mwili wako utapata mwanaume yeyote, tatu mnakuwa na tabia ya kulala fofo na kukoroma kitendo hiki hakifurahishi wanaume, nne mnapenda kuwatawala waume zenu kwa kujiona kuwa hawezi kukubabaisha kwa lolote na wakati mwingine hampendagi sana kuoga. Ndugu huu ni mtizamo wangu tu
 
Back
Top Bottom