Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k
Na usahaulifu,ukosefu Wa busara na uzembeee
 
mwanamke bonge ni mzigo tu. bora uchukue mwembamba uanze naye maisha
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
Tatizo kubwa kwa kuwa mna makalio makubwa hua mnajiona kama mmepaki benz au bugatti hivyo mnaanza kuringaaaa kumbe ni hovyo kabisa mnafuga fangasi tu katikati ya hiyo minyama
 
Mwanamke mnene anahitaji a man ambaye Physically yupo fit, kwa sababu mara nyingi wana kasumba ya uvivu.
So haiwezi kuwa tabu kwa mtu Wa push up kubilingishana nae. . .
Lakini kwa mwanaume ambaye mazoez yamepita kushoto atahitaji a woman ambaye atasimplify mahitaji yake ya kitandani, hapo ndipo portable women take advantage over those wenye miili mikubwa.
Kwa ufupi wanawake wembamba wengi wao shughuli wanaiweza.
 
wanaolewaa sana tuu. sema wengi wenye makalio mabwaku wamegeuza ni biashara ila kama unajiheshimu waoaji wapo
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
kila kitu kina saizi yake,sasa kalio liko kama furushi la nguo nani anataka mizigo,kalio likizidi sana huwa unalimezea mate tu kuliona likikatiza mbele yako ila kuliweka ndani duuuuh halifai
 
Tatizo pia wanawake wa hivyo wana matumbo makubwa,ukimvua nguo minyama inamwagika mwaaa,hutamani hata kurudia kumwangalia.Ila hapa umechanganya vitu viwili kwa wakati mmoja(miili mikubwa na matako makubwa),kuna ambao wana matako makubwa ila sio wanenne sana ,hao wana soko sana.Kuna ambao wana miili mikubwa pamoja na matako makubwa hao soko lao ni la kati,kuna ambao wana miili mikuuuubwa alafu hawana matako(umbo la simba dume)hao watasubiri sana tena sana.
 
Wewe mwenyewe umeji-devalue

Kama unakuwa na mme wa mtu sababu wew ni reject kwa singles, basi utakuwa reject siku zote
Wenzako wanakuwa na wamme za watu kwa faida, wewe unakuwa nao kwa sababu ni reject? Really?
Labda una miaka mingapi?

Hii inahusiana na self esteem yako, ifanyie kazi kwanza
Ndio wanamme wengine watakuona.

Kama unahisi tatizo ni unene basi punguza kiasi fulani cha kg ili kuboresha self esteem.
Tatizo wanawake wa namna hii ni kivutio kwa wanaume wengi na wao wameshindwa kuvivumilia kwasababu mara nyingi huangukia kwenye wanaume wenye pesa. Huendelea kudhani wataendelea kushobokewa siku zote wakati umri unasogea. Wakija kugutuka wametumika muda mrefu wanaanza kusema vijana hawatutokei. Wanakuwa wamewazidi vijana tayari. Halafu kwasababu wao wanapenda pesa ni vigumu kuwapata vijana wenzao kwasababu bado wanatafuta pesa na walio na pesa tayari wameoa. Kwa ufupi wanakuwa na tamaa zinazopelekea wao kutumika. Kwa wanaojitambua hata kama ni wanene wanaolewa tu.
 
Tatizo wanaume wengi wakiafrica hupenda hayo maumbile, na sisi tukitongozwa tunajiona ni wazuriii kumbe wale wanatutongoza kwa kututamani na sio kama wanatutongoza kwa kutupenda sasa hapo akili kichwani mwako kama utakuwa unawakubali wanaokutamani hamu yao ikiisha ni lazima waseme, wakati huo ashakupoteza muda wako na umri umekwenda hata ukijashtuka kuwa unatumika sabab ya umbo lako umri umekwenda, Siamini kama wanawake wote wenye maumbo hayo ati hawajaolewa si kweli, wale walojirahisisha kupitia maumbo yao ndo hao mpaka sasa wanasota bila kuwa na wachumba au waume, wanajisahau kama umri unakwenda wakishtuka ndo wanakuja na research kama hizi.
 
Back
Top Bottom