Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

ninachofahamu ni kwamba wengi wa wanaume wanahitaji wanawake wanaoweza kuwahandle,ni vigumu kumhandle mwanamke wa sample kama hiyo that's y most of the men decide to marry portable wife(easy to handle,portable to carry).
Sio kweli mkuu
 
Makalio na unene sio sifa kwa muoaji bali ni sifa kwa muolewaj ndio sbabu mke mwenye sifa hizo hapo ju anajisikia sana lakin kwa vyovyote vile tumtegemee mungu kwan kila kitu ni chake
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
Kila mwanaume anakuwa anawatamani hii inafanya mshawishike kuwakubali wanaume wengi na mwanaume akishajua hujatulia anashindwa kuweka kambi kwa kujua utamsumbua kwenye ndoa
 
Una ujumbe mzuri lakini hujaweka vituo wala kufuata mantiki ili uweleke vizuri mkuu.
 
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
Kuna kipindi vitambi venu hua haviondoki yaan unaishi ndani na Mwanamke ana kitambi kweli kitambi makalio yamejaa na kitumbo kimejaa na mimba hana? Alafu titi sasa likishadondoka ndala ndala sio ndala yaan hapo haujazaa mtoto hata mmoja titi lishaanguka, sura nzuri tako zuri ila sasa kitambi na titi ndala zikasome hapo unakuta umri wako ndogo Ila ndio hivyo
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
Kila mtu ana mzigo wake kwanini mm nibebe mzigo wako
 
Kuna kipindi vitambi venu hua haviondoki yaan unaishi ndani na Mwanamke ana kitambi kweli kitambi makalio yamejaa na kitumbo kimejaa na mimba hana? Alafu titi sasa likishadondoka ndala ndala sio ndala yaan hapo haujazaa mtoto hata mmoja titi lishaanguka, sura nzuri tako zuri ila sasa kitambi na titi ndala zikasome hapo unakuta umri wako ndogo Ila ndio hivyo

Changamoto sana
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.

Inategemea, Kama makalio yamefyonza akili, huwezi olewa, ila kama akili ipo, walahi vijana wanapenda makalio.
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
wanaogopa shepu
 
Back
Top Bottom