Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
Lipia tangazo kwanza maana avatar yako ni biashara tosha.
 
punguzeni unene nyie watoto, kuna notion kwamba wanawake wanene huwa wanagawa tigo. unaoaje mtu unayejua ni mgawaji uwani?
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
Formula ilivyo ni kwamba, linapofikia suala la kuoa, Wnaume tunaangalia wale wanawake wenye akili, na sio wale waliozidi wengine kwa uzuri, au makalio.
Pia, kisaikolojia Wanawake wenye makalio makubwa kichwani wanakuwaga empty, akili zinahamiaga makalioni, huwa wanaamini makalio yao ndo kila kitu, akitembea akijisikia linavyotikisika anaona kamaliza dunia.

Kwahyo, ndio maana ukitazama kati ya Wanawake waliopo kwenye ndoa na wale ambao hawapo kwenye ndoa utagundua walio nje ya ndoa ni wazuri mno, wa sura, shape na maumbo kuliko walio ndan ya ndoa.
 
FaizaFoxy na Wewe limejazajaza
Pitia huu uzi, bofya chini hapo, utaiona picha yangu ya kiwiliwili,

Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k
Na sababu nyingine ya mwisho na ya msingi sana ambayo wanaume huwa wanaogopa kuoa wanawake wenye makalio makubwa ni kuteswa na wivu wa kimapenzi.
Inafahamika kuwa wanawake wa aina hiyo huwa wanazuzuka akili na kukosa utulivu kwenye ndoa zao kwa sababu wanaume wengi huwa wanawatamani kimapenzi ya muda mfupi kisha wanawatema kwa kuhofia kushea na watu wengi.
Ndio maana miaka nenda rudi wanaishia kuwa mchepuko
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
Wee kwani ndoa muhimu jamani cha msingi sii deliboloz unapata from time to time.
 
Formula ilivyo ni kwamba, linapofikia suala la kuoa, Wnaume tunaangalia wale wanawake wenye akili, na sio wale waliozidi wengine kwa uzuri, au makalio.
Pia, kisaikolojia Wanawake wenye makalio makubwa kichwani wanakuwaga empty, akili zinahamiaga makalioni, huwa wanaamini makalio yao ndo kila kitu, akitembea akijisikia linavyotikisika anaona kamaliza dunia.

Kwahyo, ndio maana ukitazama kati ya Wanawake waliopo kwenye ndoa na wale ambao hawapo kwenye ndoa utagundua walio nje ya ndoa ni wazuri mno, wa sura, shape na maumbo kuliko walio ndan ya ndoa.
Lakini hao walio nje ndio tunaenda kuwatomberz kama micheps.
Aisee wacha wanawake warembo watuchune tuu.
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
hadi sasa hujaolewa
weka picha tuone unene wako
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.
2 (b) ndo jibu sahihi
 
Back
Top Bottom