Formula ilivyo ni kwamba, linapofikia suala la kuoa, Wnaume tunaangalia wale wanawake wenye akili, na sio wale waliozidi wengine kwa uzuri, au makalio.
Pia, kisaikolojia Wanawake wenye makalio makubwa kichwani wanakuwaga empty, akili zinahamiaga makalioni, huwa wanaamini makalio yao ndo kila kitu, akitembea akijisikia linavyotikisika anaona kamaliza dunia.
Kwahyo, ndio maana ukitazama kati ya Wanawake waliopo kwenye ndoa na wale ambao hawapo kwenye ndoa utagundua walio nje ya ndoa ni wazuri mno, wa sura, shape na maumbo kuliko walio ndan ya ndoa.