Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Uzuri wa miili yenu ni kwa ajili ya maonesho tu, show off, ukiwa na nguo zako jamaa wanaona mzigo mzito, hakuna lingine lililobakia. Na mkiona hivyo mnakuwa na kichwaaaaa unaona wewe ni malaika kumbe ni screen protector tu. Kondeni muwe portable. Huwa hamna lolote zaidi ya kuoendeza mkiwa mnatemnea na tight au madila. Ukweli mchungu
 
halafu kwa ile kazi akikaa juu spinal cord yako kwishney. Hunyanyuki. hahaaaa
 
Mnajambajamba sana wakati wa 'shoo ya wagosi'!!
 
Pcha yako itatusaidia kujua jinsi ya kukufikiria ucje kukuta ni likontena
 
Kwa namba ambayo mpaka sasa nimeipitia, nawashauri wadada wenye maumbile makubwa mjitahidi kuyafanyia kazi yafuayayo:
1. Uvivu kitandani, kimoja tu unataka ulale kwanza.
2. Usafi. Kutokana na nyama kuwa nyingi wengi hawaoshi vizuri mbunye, hivyo kupelekea uzalishwaji wa fangasi kwa wingi. Hali hii husababisha maji meupe mazito yenye harufu.
3. Usafi wa nguo na mwili, nafahamu mnatoa jasho jingi kutokana na hali yenu basi mjitahidi katika hilo.
 
Reactions: me1
Jamani mbona tupo tunaopenda tipwa tipwaaa, kama yupo tipwa tipwa anapenda kupata wakudumu ani pm basi hapa sio kuishia kulalama au kuishia kuwa vimada wa waume za watu , changamkia fursaaaaaaa
 
Jamani mbona tupo tunaopenda tipwa tipwaaa, kama yupo tipwa tipwa anapenda kupata wakudumu ani pm basi hapa sio kuishia kulalama au kuishia kuwa vimada wa waume za watu , changamkia fursaaaaaaa
hahahahaa wachangamkie fursa mweeee
 
Mbona mimi Napenda mabonge? Ila awe wa wastani na si wa kuzidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…