Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
daaaaaaaaaahhh punguza ukali wa maneno jamaaangu hata hao wanene ni watu pia wanaohitaji kuheshimiwa jamani daaahh huyo mnene aweza kuwa dadaako,shemeji au hata mama yako,kwanza naomba anikuulize umeoa wewe?kama hujaoa bado naomba nikupe ushauri huu mfupi usimcheke maba kabla hujavuka mto,na kama umeoa kiportable ufahamu kuanzia leo kuwa wanawake hawana maumbo permanent hata siku moja leo portable kesho huyo kifutu eiza kwa sababu ya njia za mpango au uzazi na mabo mengine mengi sa sijui ndo utampa talaka?,i hope utakuwa umenisoma mkuu.
sure wananuka .1.wanatoa jasho muda wote.2.wanamanyamanyama na mikunjo hivyo hawawezi kuoga wakamaliza uchafu mwilini au kujifuta uchafu wote wamalizapo kuoga.i hate them.