Kwanini sisi wapare hatujui football?

Kwanini sisi wapare hatujui football?

Hahaha, na kweli sijawahi sikia mchome, mbaga, mndeme. Ila nadhani hata wachaga na wamasai ni wachache, mara chache sana kusikia Lymo, mushi, saitoti, Mollel... Nadhani kaskazini na mpira kidogo ni changamoto.
Mkuu alikuwako Leodgar Paulo Chila Tenga! Mchaga huyo.
Alikuwa mchezaji maarufu wa Yanga ya wakati ule wa Enzi za Mwalimu! Alikuwa ana cheza no.3.Aliwahi kuwa Mwenyekiti TFF na mjumbe wa CAF kama sikusahau.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu alikuwako Leodgar Paulo Chila Tenga! Mchaga huyo.
Alikuwa mchezaji maarufu wa Yanga ya wakati ule wa Enzi za Mwalimu! Alikuwa ana cheza no.3.Aliwahi kuwa Mwenyekiti TFF na mjumbe wa CAF kama sikusahau.
Ooh. Tenga ni wachaga kweli.
 
Ni wafupi sana, goal keeper hawezi kuurukia mpira. Ni rahisi mtu mfupi kuanguka ovyo.
 
Mpare bahili acha aweza ingiza elfu moja kwa siku akajenga ghorofa ila siku ya uzinduzi anakufa kwa sababu ya njaa ya muda mrefu aliojinyima ili a save pesa ajenge ghorofa

Wapare wengi hufa siku ya uzinduzi wa jengo au wiki au miezi kadhaa toka uzinduzi
 
Hamjui vingi tu,

Hamjui kupenda kwa dhati (demu wa kipare katikati ya kunjunjana anakukumbushia deni lake), hamjui kula vizuri, hamjui kuishi na watu wengine vizuri. Wapare ni kama aliens, wamekuwa wabinafsi kiasi cha kutojua chochote kile.
Mdhuti uu
 
Huu uzi kama ule wa kina junior watoto tundu yaani mbavu zangu huku shida.
 
Gadiel Michael Mbaga, Ex player Simba & Yanga, sahivi sijui yuko team gani.
 
Back
Top Bottom