Kwanini sisi wapare hatujui football?

Kwanini sisi wapare hatujui football?

GADIEL MICHAEL MBAGA KAMAGI
MAJALIWA MBAGA KACHEZA TEAM NYINGI LIGI KUU MIAKA YA NYUMA
WACHAGA WAPO WENGI MUNISH DIDA
JACOB MASSAWE
FARID MUSSA
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini?
Naomba serikali ifanye utafiti.

Kule milimani kunawazuia kusukuma kabumbu
 
Vifupi, vipumbavu, vinapenda kesi , vibishi , vinapenda mirungi na mikokaa
 
Hahaha, na kweli sijawahi sikia mchome, mbaga, mndeme. Ila nadhani hata wachaga na wamasai ni wachache, mara chache sana kusikia Lymo, mushi, saitoti, Mollel... Nadhani kaskazini na mpira kidogo ni changamoto.
Gadiel Michael Mbaga
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Toka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini?
Naomba serikali ifanye utafiti.
Mungu hakuwanyima vyote aliwapa kipaji mwanana chaubahili uliopitiliza
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini?
Naomba serikali ifanye utafiti.
Ni vile kiasili mko bahili mno, so kuna vitu vingi huwa mnaviondoa kwenye maisha yenu ya kila siku. Hata soka mmeondoa, mnaona kama kupoteza hela tu.

Ova
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini?
Naomba serikali ifanye utafiti.
Sana sana nawaona Wapo kweny mzik tu ndo wa kina
Nandi, vanesa,Mimi mars, Roma , Adamu mchomvu ,john mjema n.k
 
Back
Top Bottom