Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wakuu poleni na janga la moto Kariakoo. Janga hilo limenikumbusha kuungua kwa soko kuu la mjini kati Mbeya. Ni kama miaka 10 hivi imepita toka liungue. Kwanini hadi leo halijajengwa?
Kweli kwenye baraza la jiji hakuna mwenye akili akaona huo ni uzembe wa hali ya juu? Kama soko limeungua si kinachotakiwa kujengwa ni soko? Sasa nini kinakwamisha?
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto