Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Soko la Mwanjelwa si lilishajengwa mkuu? Au unazungumzia soko la Uhindini?Wakuu poleni na janga la moto Kariakoo. Janga hilo limenikumbusha kuungua kwa soko kuu la mjini kati Mbeya. Ni kama miaka 10 hivi imepita toka liungue. Kwanini hadi leo halijajengwa?
Kweli kwenye baraza la jiji hakuna mwenye akili akaona huo ni uzembe wa hali ya juu? Kama soko limeungua si kinachotakiwa kujengwa ni soko? Sasa nini kinakwamisha?
Huko ni kwa wapinzani, tunawakomeshaWakuu poleni na janga la moto Kariakoo. Janga hilo limenikumbusha kuungua kwa soko kuu la mjini kati Mbeya. Ni kama miaka 10 hivi imepita toka liungue. Kwanini hadi leo halijajengwa?
Kweli kwenye baraza la jiji hakuna mwenye akili akaona huo ni uzembe wa hali ya juu? Kama soko limeungua si kinachotakiwa kujengwa ni soko? Sasa nini kinakwamisha?
Soko la Uhindini ndilo soko kuuSoko la Mwanjelwa si lilishajengwa mkuu? Au unazungumzia soko la Uhindini?
Wajinga kupita kiasiSisi Ni taifa maskini lenye wajinga
Watu wanashindwa kugonga pilau miaka karibu kumi.Mwiboma
kuna soko mbeya mjini liliungua miaka mingi nyuma saizi eneo lile wamegeuza parking tuWakuu poleni na janga la moto Kariakoo. Janga hilo limenikumbusha kuungua kwa soko kuu la mjini kati Mbeya. Ni kama miaka 10 hivi imepita toka liungue. Kwanini hadi leo halijajengwa?
Kweli kwenye baraza la jiji hakuna mwenye akili akaona huo ni uzembe wa hali ya juu? Kama soko limeungua si kinachotakiwa kujengwa ni soko? Sasa nini kinakwamisha?
limekuwa parking saiziSoko la Uhindini ndilo soko kuu